Taratibu mkuu ngoja tuone hii muvi itaishia wapi ndio tutoke na hitimisho!Diamond kashapoteza mashabiki akiwemo mimi... na nikikuchukia ujue nimekuchukia jumla.....!
Hahaha!! Mondi analijua hilo nadhan.. ndio maana anaanza jihami. Ngoja tuoneGwajima huwa anapiga panapouma
Yaani tuombe amsamehe laaah mond kazi anayo
Wewe Dada acha kushabikia Watumishi wa Mungu kuchafuliwa. Hajawahi toa sadaka kwake zinakuuma nini?Kanikwazaa!
Angemuacha tu huyo mbwa kichaa kesho abweke tu
Kelele zake za kuongeza idadi ya sadaka tumezizoea
Ropoka akusikie [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji13]Simuhofu wala kumuogopa!
So upo tayari kutenda dhambi kubwa ya kuabudu vitu/miungu ila sio mungu. Ndio maana kina zero brain wanaongoza nchi ludia kusoma ulichoandikaSiku Dhambi kubwa ambayo nitaifanya na haitahitajii msamahaa ni kuja kuingia kwenye Kanisaa la Gwajimaa.... hiyo kwangu itakuwa dhambi kubwa sanaaa!! Hata dunia nzima Abakie yeye Nitaabudu vitu vingine alivyo umba Mungu ila sio kuingia kanisani kwake
Mungu ni mwenye huruma kwa wote wamchao, wanaomwangukia na wanaomtegemea. Ni Mungu huyo huyo mwenye huruma ndiye atakayewatupa jehanamu wote watendao maovu na wakafa katika uovu wao.Sa hii mbona ni sifa mbaya kwa Gwajima, Mkristu, mfuasi wa YESU kwa cheo cha uaskof, watu wanamuogopa kwamba atawatendea mabaya, hata kama ni kwa dua, Mkristu na dua baya? Mungu yupi huyo atakayeombwa hilo dua? Ni huyu Jehovah aliyetambulishwa ktk Biblia kuwa ni Mungu wa UPENDO? Mtajifunua tu ngozi zetu.
Mimi naamini Pastor anapata kipato chake kihalali kwan hata serikali imejiridhisha na hilo. Kwa watu kwenda kuambudu kwake hilo siwezi lisemea ni imani na utashi wa mtu na ni uhuru wake. Mondi naye naamini kabisa anajipatia kipato chake kihalali na kwa juhudi zake na serikali naamini imejiridhisha na hilo.Huyo mchungaji nae anayo matatizo mengi tu, lakini jamii yetu inamrusha sana hewani.
Maisha ya dunia ya tatu yamejaa wachungaji wasanii, ambao wanatumia fursa ya umasikini wa watu kujipatia utajiri mkubwa.
Wakishapata waumini elfu mbili au elfu tatu wanaanza kuwatukana kina Malasusa na Pengo watu ambao wamekuwepo kwenye maisha ya kidini kabla ya wao hawajajua nini kinaendelea duniani.
Halafu huyo pastor na ajiangalie sana, yule wa zamani alikuwa mcheshi na mkarimu anayependa kuchanganyika na kila mtu.
Huyu wa sasa analo cheko fulani la kulazimisha, mara moja hugeuka na kuwa sura ya ukauzu. Ajiangalie sana huyo pastor.
Ropoka akusikie [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji13]
Kumbe Udaku wote wa mtandaoni wanapitia hadi kuutungia wimbo. Vyeti havitolewi tusindikize kwa nyimbo na Vigodoro? Ama kweli Udaku wa Mange Na Gwajima ni sindano ya kristapen!
Na ubabe wake wote asijaribu kumpandishia askofu hilo wenge lake ndipo atakapoona makanisa nayo yanaungana kumpinga kama vilivyoungana vyombo vya habar...Huyo mchungaji nae anayo matatizo mengi tu, lakini jamii yetu inamrusha sana hewani.
Maisha ya dunia ya tatu yamejaa wachungaji wasanii, ambao wanatumia fursa ya umasikini wa watu kujipatia utajiri mkubwa.
Wakishapata waumini elfu mbili au elfu tatu wanaanza kuwatukana kina Malasusa na Pengo watu ambao wamekuwepo kwenye maisha ya kidini kabla ya wao hawajajua nini kinaendelea duniani.
Halafu huyo pastor na ajiangalie sana, yule wa zamani alikuwa mcheshi na mkarimu anayependa kuchanganyika na kila mtu.
Huyu wa sasa analo cheko fulani la kulazimisha, mara moja hugeuka na kuwa sura ya ukauzu. Ajiangalie sana huyo pastor.
Na huyo Gwajima kwanini ajipatie umaarufu kwa kuongea maisha ya watu. Alimkejeli askofu Pengo na JK akampelekesha puta. Matokeo yake kaona anayo haki ya kuwa hakimu wa maisha ya watu.Mimi naamini Pastor anapata kipato chake kihalali kwan hata serikali imejiridhisha na hilo. Kwa watu kwenda kuambudu kwake hilo siwezi lisemea ni imani na utashi wa mtu na ni uhuru wake. Mondi naye naamini kabisa anajipatia kipato chake kihalali na kwa juhudi zake na serikali naamini imejiridhisha na hilo.
Mondi anauhuru wakutoa mawazo yake kwa njia yeyote ile na ni haki yake kama watanzania wengine, kama alivyo Gwajima pia. Mondi kaamua kutumia muziki ambayo ni kazi yake na Gwajima anaamua kutumia madhabahu ambayo ni kazi yake. Mpaka hapo sijaona tatizo! Tatizo linakuja pale unaposikia Mondi anahofu juu ya lile Gwajima atakaloongea... kwanini uwe na hofu? Kisheria sidhani kama Mondi kavunja kipengele chochote ila ukiwa na wasiwasi juu ya mtu fulani kujibu pale ulipo mtaja ndipo tunapoanza fikiria kuna unini?
Mkuu huyo askofu anaringia watu , lakini mkuu kabisa ndiye mwenye nchi.Na ubabe wake wote asijaribu kumpandishia askofu hilo wenge lake ndipo atakapoona makanisa nayo yanaungana kumpinga kama vilivyoungana vyombo vya habar...
Kwa huyu askofu bora mkuu awe mpole tu vingnevyo atajipaka mavi kwa mikono yake mwenyew kumbuka na wwnyew wanaisoma namba kwa namna yao hvyo wakipata sababu ya kulipuka utaandaliwa waraka na baraza la maaskofu utasomwa parokian na usharika zoooote hapo atakua amejiweka pabaya zaid...
Tunajua hapend kukosolewa lkn asilete shobo kwa jumuiya ya wakristo