Na kuzizoea hakumaanishi zikome, ila ziendelee asanteee. Big Gwajima...hii nchi imejaa vilaza...haina dira....tufunue wengi tuelewe hii Civics....Kanikwazaa!
Angemuacha tu huyo mbwa kichaa kesho abweke tu
Kelele zake za kuongeza idadi ya sadaka tumezizoea
Trust me baraza la maaskofu wa makanisa yote wapo macho na wanaona kinachoendelea...Mkuu huyo askofu anaringia watu , lakini mkuu kabisa ndiye mwenye nchi.
Ni vituko vya mwaka kuamini kwamba Gwajima anao uwezo wa kujibizana na mamlaka ya juu kabisa ya nchi. Mkuu hii ni afrika sio Marekani wala dunia nyingine ya kwanza, viongozi wa nchi hizi wanazo powers kubwa sana kushinda huo umaarufu wa wachungaji.
Mkuu unavyoongea sijui kama unaelewa Kuhushu brand. Hivi kama umejenga nyumba halafu mtu mbaye huwezi kumzuia abomoe kuanzia bati na hata aishie kwenye lenta tu hutsogopa? Kulichafua jina la diamond alilolijenga kwa jasho unadhani ni masihara? Haina tofauti na mtu kukubomolea nyumba.Mtu anaeweza kumuogopa Gwajima hajielewi tu..
Tatizo unaandika mambo ambayo huyajui. Ungekuwa unayajui usingejisumbua kuandika ulichoandika.Trust me baraza la maaskofu wa makanisa yote wapo macho na wanaona kinachoendelea...
Ameingilia uhuru wa habar wanamuangalia tu...
Ameingilia uhuru wa kujieleza wanamwangalia tu...
Vurugu zote anafanya wantizama tu...
Akijichanganya kuingilia uhuru wa kuabudu hapo hatovumiliwa..
......Never underestimate the power of the church......
Ishu hapa sio uchaguzi tena NI kilichopo mezani.Anaonea vidagaa tu huyu askofu uchwara. Kwa nini hakuinanga serikali pale ilipomfukuza Tanganyika Packers alipotoa vyombo vyake kupeleka kwenye mkutano wa Chadema kipindi cha uchaguzi?
Nataka nishuhudie kesho mtu akigeuzwa maji,muvi ipo pt 2 sio ya kukosa.
pastor yupi huyoo??Huyo mchungaji nae anayo matatizo mengi tu, lakini jamii yetu inamrusha sana hewani.
Maisha ya dunia ya tatu yamejaa wachungaji wasanii, ambao wanatumia fursa ya umasikini wa watu kujipatia utajiri mkubwa.
Wakishapata waumini elfu mbili au elfu tatu wanaanza kuwatukana kina Malasusa na Pengo watu ambao wamekuwepo kwenye maisha ya kidini kabla ya wao hawajajua nini kinaendelea duniani.
Halafu huyo pastor na ajiangalie sana, yule wa zamani alikuwa mcheshi na mkarimu anayependa kuchanganyika na kila mtu.
Huyu wa sasa analo cheko fulani la kulazimisha, mara moja hugeuka na kuwa sura ya ukauzu. Ajiangalie sana huyo pastor.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kumchokoza baba askofu jumamosi ni kujitafutia matatizo tu
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]dunia ya sasa almost watu wote wako kama wa Tz tuu
Najua unauza kwa vilaza kama bashite endelea kuuza hadi malinda uza tu lipa na kodi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uzuri mchungaji hajawahi kutuangusha.. Single touch Double manifestation
SanaKosa lake atalijua kesho.
Ndio Sitakuja kuingia kanisani kwa GwajimaSo upo tayari kutenda dhambi kubwa ya kuabudu vitu/miungu ila sio mungu. Ndio maana kina zero brain wanaongoza nchi ludia kusoma ulichoandika