Diamond kamuomba Gwajima yaishe

Hv domo yy hayakutwa na
Watekaj tu
 
Hongera Chibu,Muungwana ni vitendo.Kwa mara ya kwanza Tz tumempata msanii mwenye kipaji na busara.
 
Vijana wanachokonoa mambo kumbe waoga. Kama alitumwa aimbe watu aiache kabisa hako katabia, kanaweza kummaliza kisanii.
 
sio ww tu the end, hata mm kanipoteza tayar kwa sababu ya ujinga wake wa kutaka kutumika vibaya!
 
Kwahiyo kidomodomo cha kanisa wakati wa JK kilitokana na dini yake? Huyu tunayesali naye parokia moja ndio tunajifanya hatuoni?

Maaskofu ni wanafki sana, nawaheshimu maaskofu wa Congo tu ndio wanajuwa wajibu wao.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu hakika usha mjua vizuri bishop,dr slaaa hana hamu na hiyo kitu inayoitwa gwajima
 
GEUZA
Kupitia ukarasa wake wa instagram. Diamond kasema hakumuimba Konda na Gwajima kwa ubaya. Kajishusha haraka sana. Kamuomba asimgeuze maji Nami naungana na Diamond kumuomba mchuganji asimgeuze maji kijana wetu, huenda wimbo tulikua hatujaulewa.
MAJI TU.
WANAFANYA CCM IENDELEE KUWEPO MADARAKANI.
 
Lakini wanamchokoza wao hata lusekero alisema hatamnyamazia anayemchokoza ikiwezekana atamuombea afee Kabisa iwaje ww leo aje mtu kazini kwako anakupondea ufukuzwe kazi utamwachia mungu angali familia inakutegemea
 
Hawa wasanii wanaweza wakawa wanatumika kisiasa angalia kijana ana acha kuelimisha watu through mzk wake anaungana na mambo yasiyofaaa tatizo la huyu dai,,, ni elimu tu ndo naana anakurupuka hovyo lazma uangalie side effect ya kila unacho expose na cyo kuropoka hovyo tu,,,,,Infact mchungaji amsamee tu huyu kijana maana hana analojua huyu zaid ya kuimba tu
 
Kanikwazaa!
Angemuacha tu huyo mbwa kichaa kesho abweke tu
Kelele zake za kuongeza idadi ya sadaka tumezizoea
Safi sana halafu watu hawajui kuwa gwajima anapenda hizi bifu ziendelee ili watu waende kwake apige sadaka ya maana
 
Huyo Domo amelitibua dude sasa anahaha kulituliza.
Ukiishi kwa kutegemea akili za wanafiki ujue utaumbuka. Jamaa anakosa uhuru wa kufikiri hata kwa yaliyodhahiri analeta dhihaka. Ngoja ayakoge, ameyaronda mwenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…