Ni bora umtukane rais wa nchi maana kaajiriwa na wananchi kuliko kumtukana mtumishi wa Mungu aliyeajiriwa na Mungu, yaani mtumishi wa Mungu unamwita mbwa kichaa?Kanikwazaa!
Angemuacha tu huyo mbwa kichaa kesho abweke tu
Kelele zake za kuongeza idadi ya sadaka tumezizoea
You hebu na wewe tengeneza bifu na watu ili uwe unaletewa pesa.Safi sana halafu watu hawajui kuwa gwajima anapenda hizi bifu ziendelee ili watu waende kwake apige sadaka ya maana
Hahahaaa....gwajima kumbe na huku unapiga mikwara mbuzi!...nami naomba uniombee nife kabla ya siku ya mwisho kusimama!.You're so stupid, hebu na wewe tengeneza bifu na watu ili uwe unaletewa pesa.
Sio wote watakaoupakua. Wengi watasikilizishana tuNadhani Diamond amemjibu Gwajima makusudi kwaajili ya Kujipa promo ya kuzidi kuongelewa na wimbo wake uzidi kusikilizwa zaidi, Imagine ule umati wafuasi wa gwajima ambao ni walokole pale wengi hawasikilizi bongofleva. Sasa itawabidi kuingia wasafi.com ili kuupakua huo wimbo ili wasikilize ni wapi mchungaji wao ametajwa, so hiyo ni biashara na ni faida nzuri kwa diamond... Akili kubwazzz
Hehehe!!!Diamond kimbelembele chake kitamponza tuyajue tusiyoyajua yanayomuhusu, don't mess with Gwajima/Mange. Tukutane kesho kanisani ufufuo na uzima
ha ha ha ha usiombwe uchambwe na wanaume wa Dar...NuxiiiiiiiiiiiiNatamani ningekuwa Dar, najuuuutaaa kuwa Wa mkoani jamani,
Wanaume WA Dar kwa mipasho wanawake hawaoni ndani
hata akiupakua mmoja tu, inatosha kumfanya diamond apate walau maandazi ya kunywea chai keshoSio wote watakaoupakua. Wengi watasikilizishana tu
Hapo Diamond naona kama anatia kiburi wala haombi msamaha. Mwenye kuomba msamaha haulizi kosa lake ni lipi, anatakiwa kujutia kosa.
Akibweka tu maka.haba chupi inawaloa tu, mtamkoma. huyo shoga yako chibu analijua hilo ndio maana kajiwahi kumuomba Dr. Bishop Josephat Gwajima Wa Ufufuo Na Uzima msamaha. chibu akisikilza ushauri wa mataahira kama wewe mtampoteza.Kanikwazaa!
Angemuacha tu huyo mbwa kichaa kesho abweke tu
Kelele zake za kuongeza idadi ya sadaka tumezizoea
Mwenyewe anakwambia single touch, double manifestation[emoji1] [emoji1][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu hakika usha mjua vizuri bishop,dr slaaa hana hamu na hiyo kitu inayoitwa gwajima
Dah... Mtaji wa Gwajima ni Kundi kubwa la wajinga nyuma yake.... Siku wakipata akili..... [emoji13] [emoji13] [emoji13]Hehehe!!!
Don't Mess with Gwajima!!
A one Man Army!
Usijaribu kuonja Moto kwa kutumia Ulimi.
Akikupiga mapigo yake habari zako zitasambaa Galilaya nzima Mpaka Madina.
Ukifuatilia biblia, hata manabii wa kale ukiwazingua walikua wanakupa za uso na unakufa kabisa.Na huyo Gwajima kwanini ajipatie umaarufu kwa kuongea maisha ya watu. Alimkejeli askofu Pengo na JK akampelekesha puta. Matokeo yake kaona anayo haki ya kuwa hakimu wa maisha ya watu.
Inaboa sana kuona kiongozi wa kiroho anaamua kuiishi fitina ambayo ni mlango mkubwa wa shetani. Haya mambo ya wachungaji kuingia kwenye vita za maneno na raia wasio na platform au wasiopenda majibizano, sio ustaarabu wala utamaduni wa kitanzania.
Askofu Pengo alimchokoza Gwajima?. Hawa wachungaji hujisahau na huleweshwa na umaarufu pamona na fedha nyingi wanazozipata.Lakini wanamchokoza wao hata lusekero alisema hatamnyamazia anayemchokoza ikiwezekana atamuombea afee Kabisa iwaje ww leo aje mtu kazini kwako anakupondea ufukuzwe kazi utamwachia mungu angali familia inakutegemea