Diamond kamuomba Gwajima yaishe

Jamani tuko hapa ufufuo mafuriko sio ya kawaida.
 
Acheni unafiki mnajifanya mnaijua dini kumbe weupe tu, kasome bible ili ujue maana ya jisaidie nami ntakusaidia,
Nimependa sana Gwajima anavyojua kupambana na mabashite mpaka wana tepeta
 
Ila ukutte hii ni series inaongozwa na Mange, Makondakta, Gwajima, sasa naona wamemueka Diamond na Roma. Sijui nani atakufa katika hii movie
Timu ya majambazi wameongeza wachezaji wawili Tale na huyo Almasi maana timu ya Mange plus askofu iko vile vile but hawaiwezi wanaomba poo mapema
 
Acheni unafiki mnajifanya mnaijua dini kumbe weupe tu, kasome bible ili ujue maana ya jisaidie nami ntakusaidia,
Nimependa sana Gwajima anavyojua kupambana na mabashite mpaka wana tepeta
Kwani ni lazima kila kitu nawe ukijibu? Kitaje hicho kifungu nami nikakisome? Nawe ni msukule wake usiyejitambua au? Dini ni bangi inalevya na kupofushwa, kuwa makini upofu wako usije ukakusababisha usione KWELI na ulevi wako ukakunyima MAARIFA, nadhani unajua kitakachokufatia.

Gwajima si mfanyabiashara, ni mchungaji anayejinasibisha na uaskof na ufuasi wa YESU. Akajifunze, kipi Askofu Pengo alifanya alipotukanwa. Kama unamuongelea kama mfanyabiashara sawa.
 
Povu lote hilo LA nini sasa soon ajira yenu ya kumtetea bashite itakata na mtasugua makalio sana vijiweni vilaza nyie
Umeingia tena chaka, kwahiyo Tanzania kuna makundi mawili mawili tu, kama si ccm basi upinzani, kama si mpinzani basi ni ccm, kama humuungi mkono huyo Daudi wenu we ni cdm na ukimuunga mkono ni ccm. Mnachemka.

Hivi we angalia tu hata kwa wana ukoo wako, kweli wote wamegawanyika ktk makundi hayo tu? Mi sipo ktk makundi hayo yote, na kwangu nyote mnailostisha tu Tanzania yetu.
 
mondi ana akili sana kamwe usibishane na mwehu,maana wee ndo utaonekana mwehu mpya.
 
Kuomba msamaha na nyimbo iko hewani haisaidii. Anatakiwa na nyimbo isipigwe hewani
 
Nimesikia kuwa Diamond amemwomba msamaha Askofu Gwajima kwa upuuzi alouimba kwenye wimbo wake mpya. Nadhani ni wakati muafaka pia akawaomba radhi pia mashabiki wake na watanzania kwa ujumla kwa usaliti aloufanya dhidi ya uzalendo wa utaifa. Yeye akiwa kama kioo cha jamii hawezi kuweka wazi kuwa yupo upande wa wahalifu wanaoenda kinyume na maadili yetu. Ninavyoelewa Diamond anaelewa fika kuwa ugomvi uliopo kati ya WATANZANIA na Makonda ni vyeti feki ..Sasa wewe diamond ulipata wapi ujasiri wa kusema chanzo ni dada wa kwenye mtandao? usitumie umaarufu wako kupotosha umma. Tutake radhi tafadhali
 
Asiishie kumwomba msamaha mpendwa askofu pekee na sisi wadau na wananchi atuombe msamaha vinginevyo tutamgeuza 'kiroba' ndani ya wiki moja ijayo
 
Hata Faizafoxy anazungumziwa humu na kuanzishiwa tread wapi harmorapa unashangaa mond
Siwezi kuongea na mtu ambaye keshamaliza mjadala,umeshasema humu,na huyu ninayemsema mimi kila kona ya Tanzania na Afrika kama sio du nia nzima.
 
Siwezi kuongea na mtu ambaye keshamaliza mjadala,umeshasema humu,na huyu ninayemsema mimi kila kona ya Tanzania na Afrika kama sio du nia nzima.
Pitia uzi wako kama unamaneno hayo unayoyazungumza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…