Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Mbio nao ni ujuzi bibiehaaaaaa bora kaomba msamaha fasta... kafanya busara. Funika kombe mwanaharam apite
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbio nao ni ujuzi bibiehaaaaaa bora kaomba msamaha fasta... kafanya busara. Funika kombe mwanaharam apite
Acheni unafiki mnajifanya mnaijua dini kumbe weupe tu, kasome bible ili ujue maana ya jisaidie nami ntakusaidia,Sa hii mbona ni sifa mbaya kwa Gwajima, Mkristu, mfuasi wa YESU kwa cheo cha uaskof, watu wanamuogopa kwamba atawatendea mabaya, hata kama ni kwa dua, Mkristu na dua baya? Mungu yupi huyo atakayeombwa hilo dua? Ni huyu Jehovah aliyetambulishwa ktk Biblia kuwa ni Mungu wa UPENDO? Mtajifunua tu ngozi zetu.
Timu ya majambazi wameongeza wachezaji wawili Tale na huyo Almasi maana timu ya Mange plus askofu iko vile vile but hawaiwezi wanaomba poo mapemaIla ukutte hii ni series inaongozwa na Mange, Makondakta, Gwajima, sasa naona wamemueka Diamond na Roma. Sijui nani atakufa katika hii movie
"Waking"-Wa-falme!Dah... Mtaji wa Gwajima ni Kundi kubwa la waking nyuma yake.... Siku wakipata akili..... [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Kwani ni lazima kila kitu nawe ukijibu? Kitaje hicho kifungu nami nikakisome? Nawe ni msukule wake usiyejitambua au? Dini ni bangi inalevya na kupofushwa, kuwa makini upofu wako usije ukakusababisha usione KWELI na ulevi wako ukakunyima MAARIFA, nadhani unajua kitakachokufatia.Acheni unafiki mnajifanya mnaijua dini kumbe weupe tu, kasome bible ili ujue maana ya jisaidie nami ntakusaidia,
Nimependa sana Gwajima anavyojua kupambana na mabashite mpaka wana tepeta
Umeingia tena chaka, kwahiyo Tanzania kuna makundi mawili mawili tu, kama si ccm basi upinzani, kama si mpinzani basi ni ccm, kama humuungi mkono huyo Daudi wenu we ni cdm na ukimuunga mkono ni ccm. Mnachemka.Povu lote hilo LA nini sasa soon ajira yenu ya kumtetea bashite itakata na mtasugua makalio sana vijiweni vilaza nyie
Siwezi kuongea na mtu ambaye keshamaliza mjadala,umeshasema humu,na huyu ninayemsema mimi kila kona ya Tanzania na Afrika kama sio du nia nzima.Hata Faizafoxy anazungumziwa humu na kuanzishiwa tread wapi harmorapa unashangaa mond
Pitia uzi wako kama unamaneno hayo unayoyazungumzaSiwezi kuongea na mtu ambaye keshamaliza mjadala,umeshasema humu,na huyu ninayemsema mimi kila kona ya Tanzania na Afrika kama sio du nia nzima.
Mi nimetoa komenti,sijatoa uzi.Pitia uzi wako kama unamaneno hayo unayoyazungumza