Diamond kamuomba Gwajima yaishe

Kesho nitakuja kanisani Ubungo Kanisani na Askofu wao akianza kwenda kinyume na mahubiri ya Yesu Kristo basi Revolver silencer inamuhusu.
 
Bishop Asikubali Maombi Ya Kijinga Huyu Anatumika Sasa Alitakiwa Kuonyeshwa Kuwa Usitumike Vibaya
 
Labda kama mchungaji amekaa kibifu bifu,yaani kiugomvi ugomvi,lakini kama ni mchungaji anayejielewa kamwe hawezi kukasirishwa na diamond ukizingatia hajasemwa kwa ubaya gwajima,mbona diamond anaeleweka sana tu?!kipi kilichomkasirisha Gwajima hapo?!

Gwajima akimjibu diamond kesho wakati ameshaombwa msamaha basi kweli itathibitika kwamba anatumika!!na hayuko kichungaji bali yuko kwaajili ya kufedhehesha watu
 
Sijaona Mahali Diamond ameomba msamaha hapo,tusidanganyane
 
Hata bashite alitaka kiki kama hiyo matokeo yake kiki anayoipata ni kudhauliwa tu.
 
Yani kama namuona Gwajima anavyoandaa vitendea kazi vyake vya kesho tehe tehe tehe

Ivan anaweza kuwepo church nae
Kashafika maana allikua anamlia timing kijana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Anawatoleaa sadaka waumini wote
 
bashite alimwambia diamond aandike nyimbo kuwa mange ndo amewagombanisha yeye na askofu. sasa gwajima kaushtukia mchezo wao
 
Hahahaha AMESANDA Gwajima sio wa mchezo mchezo
 
Baba ubaya sijui atakuwa kwenye hali gani huko alipo
 
Huyu dimond si anasema Mama Yake kamwambie akae kimya asiongee chochote??? sasa ndiyo atajua kwa nini nazi inakunwa.
 
Kashafika maana allikua anamlia timing kijana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Anawatoleaa sadaka waumini wote
Tehe tehe tehe kesho mapema siti za mbele na gauni langu la Kitenge, nipate kitu live
 
Hivi huyu mtu mnamuogopa yeye _ni nani hasa katika himaya hii ya mungu?
 
Reactions: Drs
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…