Diamond karanga sijazielewa kabisa

Diamond karanga sijazielewa kabisa

Hatimae jana katika pita pita zangu nilivyopitia kwa bwana Mangi si ndo nikaona karanga za ndugu yetu nikasema ngoja nione kinachopewa promo hivi kunani. Daaah kwa kweli ladha yake zile karanga hamna kitu chumvi nyingi alafu zinakereketa kwenye koo sijui kwa wenzangu inshort zinakinaisha.

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Nawewe tengeneza za kwako

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Hujaelewa concept ya jamaa pimbiiii ww
 
JAMAA M1 KALA PIPI KIFUA KISHA KAENDA KWA MUUZA MACHUNGWA KATEMA PIPI KIFUA KAANZA KULA CHUNGWA BAADA YA HAPO AKAANZA KULALAMIKA kilichoendelea ilibidi niondoke na machugwa mengine ambayo sikununua maana yalikua yamesha zagaa na hao wandugu sijui waliishia wapi

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Shetani @ work

Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app
 
Hatimae jana katika pita pita zangu nilivyopitia kwa bwana Mangi si ndo nikaona karanga za ndugu yetu nikasema ngoja nione kinachopewa promo hivi kunani. Daaah kwa kweli ladha yake zile karanga hamna kitu chumvi nyingi alafu zinakereketa kwenye koo sijui kwa wenzangu inshort zinakinaisha.

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Niliposoma mara ya kwanza sikupenda ni coment mpaka ntakapokuja kuzila leo nimefanikiwa kula zile karanga
KARANGA NI NZURI SAAAAANA TUWE.WA KWELI KWENYE UKWELI
KIJANA ANAENDA MBALI
 
Hatimae jana katika pita pita zangu nilivyopitia kwa bwana Mangi si ndo nikaona karanga za ndugu yetu nikasema ngoja nione kinachopewa promo hivi kunani. Daaah kwa kweli ladha yake zile karanga hamna kitu chumvi nyingi alafu zinakereketa kwenye koo sijui kwa wenzangu inshort zinakinaisha.

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app

Kwenye kimfuko wamekuambia uzitikise kabla ya kula ili chumvi ibalance ,hujasoma maelezo unakimbilia kubugia,somaga maelezo kwanza siku nyingine utakuja kula kokoto jombaa
 
Wewe ulikosea zile huliwa kama vinogesho tu sasa wewe umeziamkia asubuhi na njaa yako ukala ukipiga mahesabu ya kushibia pakti ya mia tatu
 
JAMAA M1 KALA PIPI KIFUA KISHA KAENDA KWA MUUZA MACHUNGWA KATEMA PIPI KIFUA KAANZA KULA CHUNGWA BAADA YA HAPO AKAANZA KULALAMIKA kilichoendelea ilibidi niondoke na machugwa mengine ambayo sikununua maana yalikua yamesha zagaa na hao wandugu sijui waliishia wapi

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
We kama sio mchawi basi utakuwa mchawi soon

Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
 
Ila diamond Ni Brand bwana.Saiv hata mtu akila diamond karanga anaenda kumuuliza mwenzake Kama ashawahi Kuzionja[emoji3]Na picha anapiga.

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Dah.... Zinapatikana wapi Hapa Kibiti?

Sent from my Osborne II using JamiiForums Mobile App
 
Back
Top Bottom