tabbet
JF-Expert Member
- Jan 10, 2017
- 293
- 115
Nawewe tengeneza za kwakoHatimae jana katika pita pita zangu nilivyopitia kwa bwana Mangi si ndo nikaona karanga za ndugu yetu nikasema ngoja nione kinachopewa promo hivi kunani. Daaah kwa kweli ladha yake zile karanga hamna kitu chumvi nyingi alafu zinakereketa kwenye koo sijui kwa wenzangu inshort zinakinaisha.
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app