Team DNA ndo huwa mnamhofiA MTU ambaye hashindani na yeyote sa pressure ya ninHivi wadau,kwanini watu huwa wanamlinganisha Ali kiba sijui king kiba na Diamond?
Yaani kwa kigezo kipi,mafanikio ya kimziki au umaarufu?
Kama ni uzuri wa sauti,kwanini wasimlinganishe Ali kiba na ruby au Dida?
The key logic ni ipi hapo?
hapana bradha...Mkuu punguza kitu cha Arusha
hatari.....diamond namkubali toka akiwa na domo kubwa, mpaka sasa limepungua
Lakini ukumbuke ayo hi makombo ya domo coz domo alimpiga jokate afu akampiga chini lkn leo kiba kamuona dhahabu ndo ujue kutofautisha sasaKuna mtu kazaa na mtu aliyekuwa na watoto watatu na mwengine yupo na mtu ambaye hana japo mtoto mmoja asa nan yupo na mzoga angalieni mnajitovuga wenyewe maneno yenu hahahahaaaa....
Duuh [emoji15]hatari.....diamond namkubali toka akiwa na domo kubwa, mpaka sasa limepungua