borncool
JF-Expert Member
- Jul 8, 2013
- 226
- 49
Team DNA ndo huwa mnamhofiA MTU ambaye hashindani na yeyote sa pressure ya ninHivi wadau,kwanini watu huwa wanamlinganisha Ali kiba sijui king kiba na Diamond?
Yaani kwa kigezo kipi,mafanikio ya kimziki au umaarufu?
Kama ni uzuri wa sauti,kwanini wasimlinganishe Ali kiba na ruby au Dida?
The key logic ni ipi hapo?