Diamond kuachia video nyingine wiki hii

Diamond kuachia video nyingine wiki hii

Hivi wadau,kwanini watu huwa wanamlinganisha Ali kiba sijui king kiba na Diamond?

Yaani kwa kigezo kipi,mafanikio ya kimziki au umaarufu?

Kama ni uzuri wa sauti,kwanini wasimlinganishe Ali kiba na ruby au Dida?

The key logic ni ipi hapo?
Team DNA ndo huwa mnamhofiA MTU ambaye hashindani na yeyote sa pressure ya nin
 
hatari.....diamond namkubali toka akiwa na domo kubwa, mpaka sasa limepungua
 
Kuna mtu kazaa na mtu aliyekuwa na watoto watatu na mwengine yupo na mtu ambaye hana japo mtoto mmoja asa nan yupo na mzoga angalieni mnajitovuga wenyewe maneno yenu hahahahaaaa....
Lakini ukumbuke ayo hi makombo ya domo coz domo alimpiga jokate afu akampiga chini lkn leo kiba kamuona dhahabu ndo ujue kutofautisha sasa
 
Daaah hii kesho naona kama mwakani hivii kila nikikumbuka kuna chupa linakuja..

#MakeMeSing
 
Back
Top Bottom