Diamond kuchimba visima na kujenga madawati shule za Tandale

mr gentleman

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,222
Reaction score
4,689
Aliyasema haya wakati anaongea na XXL ya Clouds fm leo mchana baada ya kuulizwa umefanya nini kusaidia jamii.

Amesema yapo mengi ameyafanya lakini hawezi yasema kwani ni kama sadaka....ila kwa hivi karibuni ametoka kwenye shule za Tandale kuuliza wanahitaji nini anachoweza kusaidia. Ndio akaona ishu ya msingi kwa sasa ni maji hivyo atachimba visima na kuwajengea madawati kupunguza watoto kukaa chini walau wakae level seat .
 
Amesema atahakikisha kila shule Mbagala inachimbiwa Kisima, zitapewa madawati kwa zile zenye upungufu wa madawati.

Na mabati kwa zile ambazo hazina bati,na amesema atafanya kwa pesa yake mwenyewe na utekelezaji unafanyika mwaka huu kabla haujaisha maana ndio muda wake wa kutimiza ahadi kila mwisho wa mwaka.

Hongera Diamond, japo kazi uliyojipa ni kubwa sana.

Ila kwa umaarufu wako ungeweza kuwatafuta Wadhamini wako mfano Coca-Cola na Airtel ukawaelekeza lengo lako mkajua jinsi ya kulifanikiasha.

Hata hivyo mafanikio mema kwenye mipango yako.
 
Jamani Diamond utaua watu hawapumuiiii hongera mwaego wenye chuki wasipodedi mwaka huu basi hawatadedi tenaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…