mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
Aliyasema haya wakati anaongea na XXL ya Clouds fm leo mchana baada ya kuulizwa umefanya nini kusaidia jamii.
Amesema yapo mengi ameyafanya lakini hawezi yasema kwani ni kama sadaka....ila kwa hivi karibuni ametoka kwenye shule za Tandale kuuliza wanahitaji nini anachoweza kusaidia. Ndio akaona ishu ya msingi kwa sasa ni maji hivyo atachimba visima na kuwajengea madawati kupunguza watoto kukaa chini walau wakae level seat .