Diamond Kujenga Msikiti, Je Masheikh Wataupokea??

.sikia ,Kwa sbbu msikiti umeshajengwa Ni lazima utumiwe..ila tatzo litabaki kwa masheikh na kila mmoja aliyekubal msikiti ule ujengwe.


Ndio bongofleva ni ujambazi, kwa mujibu wa dini yetu nyimbo ni haramu,

So lazima ujuwe kutofautisha kati ya tuwi na maziwa,serekal ni taasisi tofauti na dini.

Kila taasisi ina sheria zake ingawajee kwa baadhi ya sheria zinafanana ila nyingi zinatofautiana .

Hatuangali serekal inasema nn tuu,tunangalia na dini inasema nn.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipi ni kipi? ,Kwa sbbu dunia ishafikia mwisho.ndo maana waumini wanachanganya chumvi na sukari kwa wakat mmoja.

Njaa na udhaifu wa imani kwa baadhi ya waumini na viongozi wa dini ndio ,wanasbabsha huoo upumbavu mpaka w2 wanashindwa kuelewa kipi ndo sahihi

Ndo maana tukambiwa tuzisome dini zetu vitabu vya dini zetu tuvisomee,maana itafikia muda wale walio aminiwa watakuwa mazwzwa kwa njaa zaoo,na kuamuwa kutupoleka kushoto.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kwa hakika sidhan kama kuna anaye fanya ki2 bila kutarajia k2 pengne hapa duniani ama kesho akhera.

Kwa hakika ktk dini yetu kuna DHAMBI NA DHAWABU, tendo baya siku zote ukifanya utapata dhambi,

Ila tendo zuri ukiwa na nia tuu ya kufanya unapata dhawabu na ukifanya kabsa unapata dhwabu.

Yaani ukizitka usizitake moja wapo utpata kutokana na matendo yako.

Ila sasa ukiwa umejenga msikiti ukiwa sii muislamu au pesa yako sii ya halali hupati dhawabu .ngo ngo kwa sbbu ww sii muislamu.
Unajuaje kama ye anataraji malipo kwa mola wake? Lau kama anataka tu kusaidia watu wapate sehemu nzuri ya kusali tu?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bongo Flava ni haramu kwa uisilamu, ni sawa na uzinzi, ushirikina ,ulevi kwahio hata pesa ya bongo Flava ni haramu. Mimi sija hukumu lkn nimepewa akili ya kutambua mazuri na mabaya huyu diamond anae zaa bila ndoa, amechora matatoo mwili mzima anatangaza vilevi harafu aje kutupa msikiti tuchukue?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…