Tetesi: Diamond kujiunga CHADEMA mwaka 2024 na 2025 kugombea Ubunge kupitia chama hicho

Tetesi: Diamond kujiunga CHADEMA mwaka 2024 na 2025 kugombea Ubunge kupitia chama hicho

Ubunge ndiko kwenye pesa zisizo na jasho. Na ndio wanaolitafuna Taifa kwa propaganda za hapa na pale lakini hakuna wanachofanya. ZZK yuko kimya kimya lakini ni bonge moja la tajiri.
 
anaweza fanya lolote kwa ajili ya pesa, tokea amepiga picha kavaa kikuku na kujitingisha huku kavua boxer stejini nikajua ana maagano mazito sana..kwahiyo wakubwa wake wakimtaka aende chadema atatii bila shuruti, achen kumtukuza huyu puppet hana maajabu.
 
Ni haki yake tunahitaji sura mpya pia
Yah ni kweli mkuu, bora wewe umeonesha kukubaliana na dhamira yake.
Wengine wameishia kuongea utumbo kana kwamba chama kimeanzishwa kwa ajili ya watu fulani tu na kwamba wengine hawaruhusiwi kujiunga nacho.
 
anaweza fanya lolote kwa ajili ya pesa, tokea amepiga picha kavaa kikuku na kujitingisha huku kavua boxer stejini nikajua ana maagano mazito sana..kwahiyo wakubwa wake wakimtaka aende chadema atatii bila shuruti, achen kumtukuza huyu puppet hana maajabu.
Kwa vile katiba inamruhusu basi tumuachie aamue anachoona kinafaa.
 
Ubunge ndiko kwenye pesa zisizo na jasho. Na ndio wanaolitafuna Taifa kwa propaganda za hapa na pale lakini hakuna wanachofanya. ZZK yuko kimya kimya lakini ni bonge moja la tajiri.
Mtu yoyote akiwa pesa za bure kama wabunge, hawezi kukataa.
 
Diamond ni mfanyabiashara, kwake pesa ni kila kitu. Hawezi kuthubutu kuweka rehani mafanikio yake kwa kwenda kinyume na chama tawala.

Anaweza kuhamia CHADEMA kama ikishika hatamu maana mwisho wa siku anaangalia maslahi yake.

Diamond ana uwezo wa kushinda kwa Kura nyingi akigombea katika jimbo lolote ambao lipo Mjini, hata akigombea kupitia TADEA atashinda Tu kwani katika population za Mjini vijana ni wengi, watu wazima wanaojitambua pia Ni wengi, waliochoka na usumbufu wa viongozi na maonevu yao Ni wengi hivyo Diamond kupindua meza itakuwa rahisi sana, hivyo hivyo kwa Baba Revo kule kwao hata Leo wakiitisha uchaguzi chawa atatoboa
 
ok
 
Habari zenu wana JF wenzangu.

Katika pitapita zangu maeneo fulan nimekutana na hii habari kutoka kwa mtu wa karibu mno wa msanii huyo, akidai kwamba Diamond yuko katika mchakato wa kulishangaza taifa hapo mwakani.

Japo mimi sio mwanasiasa, lakini ningependa kumshauri ndugu yetu Diamond afikirie mara mbili uamuzi wake huo. Asije kuingia huko kichwa kichwa akaanza kufanywa mtaji wa kisiasa na hawa wanasiasa wetu uchwara wanaofanya siasa zao kupitia mgongo wa majina ya watu maarufu nk.

Na kama kweli ana lengo la kushinda uchaguzi basi akagombee katika jimbo moja la kwao Kigoma, maana kule anakubalika kuliko yule mmanyema mwenzake kwa jina anaitwa Zito.

Wewe kama mwana JF, una nini la kumwambia ndugu yetu Dangote wa Tandale.

Lisemwalo lipo, na kama halipo laja.
Akome,aende akagombee Chato.
 
Hatutaki mafisadi Chadema.
Hamtaki mafisadi au wewe ndio hautaki mafisadi?
Mbona mwenyekiti na chama kizima wako tayari kuwapokea mafisadi?
Au wewe ni team ya Dr Slaa?
 
Attachments

  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    27.8 KB · Views: 1
  • download.jpeg
    download.jpeg
    10.7 KB · Views: 2
Back
Top Bottom