Tetesi: Diamond kujiunga CHADEMA mwaka 2024 na 2025 kugombea Ubunge kupitia chama hicho

Habari zenu wana JF wenzangu.

Katika pitapita zangu maeneo fulan nimekutana na hii habari kutoka kwa mtu wa karibu mno wa msanii huyo, akidai kwamba Diamond yuko katika mchakato wa kulishangaza taifa hapo mwakani.

Japo mimi sio mwanasiasa, lakini ningependa kumshauri ndugu yetu Diamond afikirie mara mbili uamuzi wake huo. Asije kuingia huko kichwa kichwa akaanza kufanywa mtaji wa kisiasa na hawa wanasiasa wetu uchwara wanaofanya siasa zao kupitia mgongo wa majina ya watu maarufu nk.

Na kama kweli ana lengo la kushinda uchaguzi basi akagombee katika jimbo moja la kwao Kigoma, maana kule anakubalika kuliko yule mmanyema mwenzake kwa jina anaitwa Zito.

Wewe kama mwana JF, una nini la kumwambia ndugu yetu Dangote wa tandale.

Lisemwalo lipo, na kama halipo laja.
Kwahiyo atajitoa CCM aende upinzani au mimi sijaelewa.
 
Wamembana kwenye kodi mpaka maji kaita mma.
 
Taifa letu Sasa ifikie kipindi mbunge awe na masters/PhD...hv kweli mtu ana dip. Analipwa mshahara na pension zaidi ya mtu mwenye PhD isn't fair?
Katiba mpya ilizingatie hlo mbunge awe na masters/phd
 
Mbona hao wenye masters/phd wameshindwa kutumia ujuzi elimu yao kulisaidia taifa kiuchumi na kimaendeleo?
Mtu kama Diamond unafikiri ashasaidia wangapi na kuliingizia taifa kiasi gani ukilinganisha na hao phd wako ambao wakipata nafasi serikalini ni kupiga tu na kuzifaidisha familia zao.

Wazo lako ni zuri, lkn kwa hawa wasomi uchwara wa nchi yetu halina mantiki yoyote kutokana na ubinafsi wa viongozi wetu na wasomi wetu.

Angalau kina Mbowe wameishia form 4, lkn jitihada zao kwa taifa zinaonekana kwa kiasi fulani.
 
Sawa mkuu....Ila hao wa form 4 ndo wabinafs balaa miaka yote wanagonga ruzuku wanashindwa hata kujenga ofs tu 😄
Zitto ana masters hebu angalia uongozi wake ulivyo very professional hata miaka 10 hawajafika Ila tayar Wana head Quarter
 
Habari zenu wana JF wenzangu.

Katika pitapita zangu maeneo fulan nimekutana na hii habari kutoka kwa mtu wa karibu mno wa msanii huyo, akidai kwamba Diamond yuko katika mchakato wa kulishangaza taifa hapo mwakani.

Japo mimi sio mwanasiasa, lakini ningependa kumshauri ndugu yetu Diamond afikirie mara mbili uamuzi wake huo. Asije kuingia huko kichwa kichwa akaanza kufanywa mtaji wa kisiasa na hawa wanasiasa wetu uchwara wanaofanya siasa zao kupitia mgongo wa majina ya watu maarufu nk.

Na kama kweli ana lengo la kushinda uchaguzi basi akagombee katika jimbo moja la kwao Kigoma, maana kule anakubalika kuliko yule mmanyema mwenzake kwa jina anaitwa Zito.

Wewe kama mwana JF, una nini la kumwambia ndugu yetu Dangote wa tandale.

Lisemwalo lipo, na kama halipo laja.
Aachane na siasa umaarufu na kipato alionao wamtosha.
 
Kwanza rekebisha hapo kwa Zitto siyo Mmanyema bali ni Muha wa Mwandiga
 
Sawa mkuu....Ila hao wa form 4 ndo wabinafs balaa miaka yote wanagonga ruzuku wanashindwa hata kujenga ofs tu 😄
Zitto ana masters hebu angalia uongozi wake ulivyo very professional hata miaka 10 hawajafika Ila tayar Wana head Quarter
Hahaha ngoja nifungue fungue majalada ya mwamba wa form 4 nitarudi mkuu 😂😂
 
Back
Top Bottom