Tetesi: Diamond kujiunga CHADEMA mwaka 2024 na 2025 kugombea Ubunge kupitia chama hicho

Tetesi: Diamond kujiunga CHADEMA mwaka 2024 na 2025 kugombea Ubunge kupitia chama hicho

Nafikili ameona uko ndo kunafaa baada ya kuona kuna watu wanakwenda bungeni kusinzia afu wakitoka hapo mamilioni ya shiling yanaingia kwa acc zao bila jasho.
Mentality za kijinga,ana kampuni nyingi,mtaji anao,abuni biashara za kupiga hela zaidi,maana network anayo,akina rostam waliingia siasa kutafuta network
 
Inasemekana nje ya mziki jamaa yuko vizuri kichwani.
Sema ndo hivyo mambo ya sanaa sometimes lazima ujifanye kichwanga ili kuvuta views na Like za kutosha mitandaoni.
Yah nakubaliana na wewe diamond yupo smart sana nimewahi kilusikiliza baadhi ya press zake na interview zake
 
Mentality za kijinga,ana kampuni nyingi,mtaji anao,abuni biashara za kupiga hela zaidi,maana network anayo,akina rostam waliingia siasa kutafuta network
Kweli kabisa, ni bora asijihusishe na siasa kabisa. Zitamuharibia mazima.
 
Ndiyo tatizo lenu Sukuma Gang mkiishiwa mada mnaandika utumbo tu ili mradi muikashifu Chadema na kwa vile JF haina mhariri wa maudhui basi mada za kipumbavu zinaachwa tu kuning'inia humu.

Huyu Diamond ana nini kichwani hadi Chadema wamtake? CCM ndiyo yenye kawaida ya kutumia wasanii ili kujaza mikutano yao na mwisho wa siku inawadhulumu pesa walizoahidi wakidai chao wanasakiziwa Basata wawapige pini.
Kwani ni lazima utukane?!, sugu mbilinyi,na hata yule mvuta bangi wa moro,wao wana nn vichwani mwao zaidi ya diamond?
 
Uwe mda mwingine unatumia akili kufikiri badala ya makalio ;;
Acha kudhalilisha CHADEMA,,lini uliwahi ona CHADEMA ikachukua watu kama hao?
hyo ni desturi ya CCM Kuchukua wapuuzi wenzao
 
Kwani ni lazima utukane?!, sugu mbilinyi,na hata yule mvuta bangi wa moro,wao wana nn vichwani mwao zaidi ya diamond?
Asante mkuu kwa kumuhabarisha huyo mnywa gongo. Siku zote mtu mjinga utamuona kwa ujinga wake.
 
Umemsahau Wema sepetu?
Mdude nyagali, Sugu, Mdee na wengine wengi tu kawasahau. Jamaa anajifanya anaipenda na kuijua sana Chadema wakati Chadema yenyewe haimjui yeye wala mumewe.
 
Chadema ni mtaji mkubwa sana kwa Wanalumumba aisee, huyu mleta uzi tayar kashaingiza buku 7 pale Lumumba [emoji23][emoji23] .. watoto leo hawalali njaa ... Alafu nyie ndo mnaongoza kusema chadema imekufa , ikifa na ninyi mtakufa njaa

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom