Tetesi: Diamond kujiunga CHADEMA mwaka 2024 na 2025 kugombea Ubunge kupitia chama hicho

Tetesi: Diamond kujiunga CHADEMA mwaka 2024 na 2025 kugombea Ubunge kupitia chama hicho

Yote heri ila mshauri amalizane na tiaraei vizuri kabla ya mahasidi kuitumia kama fimbo ya kumchapia.
Sisi tunangoja panapo majaaliwa mwaka 2025 utaongea wenyewe.
 
Habari zenu wana JF wenzangu.

Katika pitapita zangu maeneo fulan nimekutana na hii habari kutoka kwa mtu wa karibu mno wa msanii huyo, akidai kwamba Diamond yuko katika mchakato wa kulishangaza taifa hapo mwakani...
Katiba ya Tanzania unaijua ulishawahi kuisoma? Diamond siyo Mtanzania? Kugombea hilo jimbo unalosema ni makosa kisherI?
 
Uongozi kwa ujumla siyo mahali pa kwenda kutafutia pesa, bali ni mahali pa kwenda kutumia pesa yako, ujuzi wako na uwezo wako, kuwasaidia unaowaongoza. Ni mahali pa kwenda kuwaonesha unaowaongoza njia ya kuondokana na umaskini, ja matatizo mbalimbali yanayowazunguka unaowaongoza. Kiongozi anastahili kuwa na majibu ya matatizo ya anaowaongoza.

Fikiria maskini anakuwa kiongozi, halafu wewe maskini mwenzie unaamini yeye anaweza kukuonesha njia ya wewe kutoka kqenye umaskini. Yaani akuoneshe njia ambayo hata yeye hakuiona.

Tanzania, ndiyo maana unasikia pesa za umma zinaibiwa, ni kwa vile maskini wanatafuta uongozi ili waondokane na umaskini.

Uongozi ni jambo la heshima. Wanatakiwa kwenda wanaotafuta heshima na recognition, na sio wenye njaa kali.

Hivyo, kwa Diamond kuutafuta uongozi siyo ni jambo jema. Ana uwezo wa kuyatatua matatizo kadhaa ya atakaowawakilisha, japo siyo sifa pekee anayostahili kuwa nayo kiongozi.
 
Back
Top Bottom