Tetesi: Diamond kujiunga CHADEMA mwaka 2024 na 2025 kugombea Ubunge kupitia chama hicho

Tetesi: Diamond kujiunga CHADEMA mwaka 2024 na 2025 kugombea Ubunge kupitia chama hicho

Uongozi kwa ujumla siyo mahali pa kwenda kutafutia pesa, bali ni mahali pa kwenda kutumia pesa yako, ujuzi wako na uwezo wako, kuwasaidia unaowaongoza. Ni mahali pa kwenda kuwaonesha unaowaongoza njia ya kuondokana na umaskini, ja matatizo mbalimbali yanayowazunguka unaowaongoza. Kiongozi anastahili kuwa na majibu ya matatizo ya anaowaongoza.

Fikiria maskini anakuwa kiongozi, halafu wewe maskini mwenzie unaamini yeye anaweza kukuonesha njia ya wewe kutoka kqenye umaskini. Yaani akuoneshe njia ambayo hata yeye hakuiona.

Tanzania, ndiyo maana unasikia pesa za umma zinaibiwa, ni kwa vile maskini wanatafuta uongozi ili waondokane na umaskini.

Uongozi ni jambo la heshima. Wanatakiwa kwenda wanaotafuta heshima na recognition, na sio wenye njaa kali.

Hivyo, kwa Diamond kuutafuta uongozi siyo ni jambo jema. Ana uwezo wa kuyatatua matatizo kadhaa ya atakaowawakilisha, japo siyo sifa pekee anayostahili kuwa nayo kiongozi.
Atakuwa anazitafuta nyingi zaidi na pia labda kupata shields !!
 
Hela anazopata kwenye mziki ni hela nyingi kuliko atakazoenda kupata kwenye siasa labda kama hana mpango wa kutengeneza pesa ndio aingie uko. Ushauri wangu kwake ni Bora abaki CCM kwa maslahi mapana ya biashara zake kuliko kwenda Upinzani ataandamwa Sana
CCM ya sasa haina mambo hayo. Mtu yuko huru kujiunga chama chochote, ila wananchi ndo watakaotoa hukumu ya mwisho uchaguzini.
 
Habari zenu wana JF wenzangu.

Katika pitapita zangu maeneo fulan nimekutana na hii habari kutoka kwa mtu wa karibu mno wa msanii huyo, akidai kwamba Diamond yuko katika mchakato wa kulishangaza taifa hapo mwakani.

Japo mimi sio mwanasiasa, lkn ningependa kumshauri ndugu yetu Diamond afikirie mara mbili mbili uamuzi wake huo. Asije kuingia huko kichwa kichwa akaanza kufanywa mtaji wa kisiasa na hawa wanasiasa wetu uchwara wanaofanya siasa zao kupitia mgongo wa majina ya watu maarufu nk.

Na kama kweli ana lengo la kushinda uchaguzi basi akagombee katika jimbo moja la kwao Kigoma, maana kule anakubalika kuliko yule mmanyema mwenzake kwa jina anaitwa Zito.

Wewe kama mwana JF, una nini la kumwambia ndugu yetu Dangote wa tandale.

Lisemwalo lipo, na kama halipo laja.
Kwanza aoe mke sio kuzaa ovyo nje ya doa. Ubunge ni kazi ya heshima sema imegeuzwa kua kazi ya kihuni kwa wahuni kugombea.
 
Habari zenu wana JF wenzangu.

Katika pitapita zangu maeneo fulan nimekutana na hii habari kutoka kwa mtu wa karibu mno wa msanii huyo, akidai kwamba Diamond yuko katika mchakato wa kulishangaza taifa hapo mwakani.

Japo mimi sio mwanasiasa, lkn ningependa kumshauri ndugu yetu Diamond afikirie mara mbili mbili uamuzi wake huo. Asije kuingia huko kichwa kichwa akaanza kufanywa mtaji wa kisiasa na hawa wanasiasa wetu uchwara wanaofanya siasa zao kupitia mgongo wa majina ya watu maarufu nk.

Na kama kweli ana lengo la kushinda uchaguzi basi akagombee katika jimbo moja la kwao Kigoma, maana kule anakubalika kuliko yule mmanyema mwenzake kwa jina anaitwa Zito.

Wewe kama mwana JF, una nini la kumwambia ndugu yetu Dangote wa tandale.

Lisemwalo lipo, na kama halipo laja.

Asijihusishe na siasa. Nchi hii siasa zake hazieleweki
 
Hawawezi kumpa agombee Chadema kwani kiwango chake bado ni cha CCM.
 
Ndiyo tatizo lenu Sukuma Gang mkiishiwa mada mnaandika utumbo tu ili mradi muikashifu Chadema na kwa vile JF haina mhariri wa maudhui basi mada za kipumbavu zinaachwa tu kuning'inia humu. Huyu chai jaba ana nini kichwani hadi Chadema wamtake? CCM ndiyo yenye kawaida ya kutumia wasanii ili kujaza mikutano yao na mwisho wa siku inawadhulumu pesa walizoahidi wakidai chao wanasakiziwa Basata wawapige pini.
Ukiangalia Views na Like katika hizo picha kamwe hauwezi andika huu upuuzi wako jukwaani.

Tofauti ni kubwa mno 🤣🤣🤣
 
Attachments

  • Screenshot_20230413-134348.jpg
    Screenshot_20230413-134348.jpg
    61.6 KB · Views: 3
  • Screenshot_20230413-134249.jpg
    Screenshot_20230413-134249.jpg
    64.7 KB · Views: 3
Ukweli ni kuwa Chai jaba hana mpango huo kabisa ila mleta mada alikuwa anatafuta angle ya kujidhalilisha Chadema tu.
Nilichoandika hapa ndio ukweli wenyewe huo. Sina lengo la kuidhalilisha Chadema wala chama chochote hapa jukwaani.
 
sasa msuka dredi awe mbunge wa ardhi fulani ya ichi ya kiafrica ni aibu na ni kukosea heshima nchi kwa ujumla
Mbona kina Sugu walikuwa wanavaa mpaka hereni, na bado waligombea ubunge wakashinda?!!
 
Back
Top Bottom