Tetesi: Diamond kumjengea bonge la jumba na kumpa baadhi ya mali zake baba yake wa kambo

Zaidi ya aibu.

Anakera kweli
 
Atakuwa mpumbavu na mjinga wa karne. Kashindwa mjengea baba ake mzazi. Na akamjengea wa kambo.
Ni Mawaxo yangu [emoji119]
Shinikizo la bi Sandra.

Mashine imemuingia haswaa hachomoi kwa jamaa kila atakachoambiwa anakubali halafu anaenda kumsumbua mwanaye.
 
Hongera, hivi awamu hii ni ya kuchunguza maisha ya mtu kweli? Ukisikia wivu ndio huo
 
Huyu mama k bado ipo tu au ndo imelegea.....
 
Mimi kama mimi sijapendelea kabisa hii ndoa
Hujaipendelea uliipenda ipi? Ulitaka aendelee kuzini mzidi kumchora? Kuolewa ni thawabu pia si Mzee kivile huyu mama alipigika tu ndio maana kaonekana mzee, mwacheni atulie apate thawabu za mume. Binafsi nampongeza sana pia nawapongeza watoto wake kuafiki wazo la mama na kumkubalia kuolewa.
 
Ngoja na mm niende kwa mama yake kiba naweza kupokelewa vizuri tu na kiba family nikafaidi pesa. πŸ˜€ πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…