Mmmh ni sawa kama dini inasema ivo ila Kwakwel inabidi kuangalia na mazingira yenyewe mama una watoto unahangaika nini kwenda kuolewa na vijana bora angeolewa na mzee mwenziye ni sawa.
Hata uyo mkaka nae hajielewi anamuoa bibi mwenye wajuu ili iwaje?wataweza kweli kutengeneza familia????
Yan kuna vitu ukifikiria zaidi naona siyo sawa Kwakwel
Mzee mwenziwe ili akamshughulishe na kabao kamoja!! unajua huyo maza kakaa muda gani bila kuonja dudu kwa mirindimo inayotakiwa...acha mama ale raha za dunia kihalali kbs huku akisubiri siku zake zifike...huyo bro mwacheni nae ale mambo adimu ya kungwi plus mkwanja.
Kwetu waislamu sio tatizo kabisa...Mtume alimuoa Bi Khadija akiwa amezidiwa umri wa miaka 15 (40/25). Kwa hiyo:
1) Mtume alimuoa bi khadija kwa kuwa alikuwa Mjane (amemstiri)
2) Mtume alimuoa bi khadija kwa mali yake (amsaidie kuitunza) kwa sababu huyu maza alikuwa mfanya biashara tajiri pale makkah. Na pia ikumbukwe moja kati ya kigezo cha kuoa ktk uislamu,unaruhusiwa pia kuangalia kigezo cha Mali ya mwanamke,japo Dini yake ndo kigezo kikuu na kilichosisitizwa na Uislamu.
3) Bi khadija ndie aliyemtaka mtume kwanza (alikuwa wa kwanza kutongoza japo kwa njia za hekma) hii inamaana sio dhambi/aibu mwanamke kuanza kumpenda mwanaume ingawa anatakiwa asiwe too explicity kutokana na tamaduni.
4) Bi khadija ndo alikuwa mke wa kwanza wa Mtume.
NB: ukiangalia hali zooote hapo juu zinafall squarely na hali ya ndoa ya sasa ya Bi Sandara na Kiben ten chake..so not big issue...let them enjoy their marriage life yaliyomo ndani ya mioyo yao tusiwasemee maana hatuyajui,tuwaachie tu wenyewe.
Hapo hakuna hata mmoja aliyejidhalilisha/kudhalilishwa na mwenzake hali ingekuwa tofauti kama wangekuwa wanazini tu.