Diamond kumwekea dhamana Romy Jones na Petit man?

Mange anakua mbaya akitoa habari zakuiumiza fisiem lakini akitoa za cdm mishiopa huwa inawasimama utadhan wanywaji wa chang'aa. Mange wape zaidi maana hata nyuzi za makongo, Dubai na USA wengine hatukua tunazijua.
 
Ulitaka apigwe hadharani ili ujuwe kuwa kapigwa au?
 
Hapa nakuunga mkono. Mimi pia huwa nawashangaa sana wale waumini wake. Kama ninavyowadharau waumini wa Mzee wa UPAKO!
 
Vipi ombi lake la wakili msando kuwasimamia hao watuhumiwa limetimia halijatimia? Vipi wazo lake la kumpinga makonda kuwa anakamata dagaa hakina adoptiwa bungeni na wanaccm na ukawa?

Usipompenda Mange jijue akili zako na tabia sawa na Masogange
 
uyo kah ba aliyeko marekani divorce ilishamchanganya hana analolielewa

Hivi kwa nini unaona raha kutukana watu bila saababu? Huna vocabulary sahihi ya kusema kistaarabu? Kama ndivo nina mashaka na makuzi yako. Unajua maana yake?
 
Umeongea pointi tupu ndugu
 
Mange ndiye aliyesababisha WEMA aendelee kunya kwenye debe mpaka leo.

Zile VN alizozibandika kwenye page yake jana ndio zimesababisha WEMA asuburishwe ili kumuandalia charge mpya!

Kwa ajili ya MANGE kukosa busara kamsababishia mwenzie kesi mpya ambayo inaweza kumuweka Lupango!
 
Chanzo cha habari kinaitwa mange alafu kipo marakani kwa tbc haipo Hadi uminini huyo mange
 
Huyu Mange kwenye ishu ya madawa simuelewi kabisa kila wakati huko Insta yupo Wema wema mpaka anakera
 
Vipi ombi lake la wakili msando kuwasimamia hao watuhumiwa limetimia halijatimia? Vipi wazo lake la kumpinga makonda kuwa anakamata dagaa hakina adoptiwa bungeni na wanaccm na ukawa?

Usipompenda Mange jijue akili zako na tabia sawa na Masogange
Ulitaka apigwe hadharani ili ujuwe kuwa kapigwa au?
Kinachoshangaza ni kundi kubwa la wanaume Kuwa mashabiki wa Msema ovyo Mange.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…