Diamond kumwekea dhamana Romy Jones na Petit man?

Acha kuwa lipumbafu .,kuuza ngada na chuki vinausiana vipi??
Akanyee ndio tu kama atakutwa na hatia...akaimbe marry you segerea kama si ukonga
Kwa hadhi aliyonayo mond sasa hv kwa taifa ni sawa na waziri mkuu mstaafu,hauwezi kumfunga mheshimiwa....usifikirie kwa kutumia masaburi
 
Dimond na genge lake la Madale wanazidi kutetemeka maana hivi karibuni msala utaamia sebuleni kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…