Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Ni katika ile Europe tour na ilipelekea mama kumsusa mkwe wake.hahahahah hili zito
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni katika ile Europe tour na ilipelekea mama kumsusa mkwe wake.hahahahah hili zito
Mmmmh...[emoji125]Kimenuka... Zungu anatakiwa afike polisi J3 pamoja na akina Diamond platinum.. Ruge Mtahaba wa clouds fm
[emoji15] [emoji15] [emoji15] yamekuwa hayo teeena!Mwenzangu nilisikia Rommy alionja mama T.
Ndiyo yupo kamuwekee dhamanaIv jamani Rommy naye yumo?
Moyo wa kuridhika hata Mungu anaupenda turidhike na tunachopata ili tuwe salama na wenye amani.Sisi watu wa Pwani pressure ya maisha ya ajabu hatuna, ukiwa na mahali pa kulala na una uhakika wa kula na kuvaa unamshukuru Mungu.
Ndege wafananao........Petit man ni Shemeji kwa esma platnumz, na Rommy Jones ni DJ wa WCB na binamu wa Diamond.
Ndege wafananao........Petit man ni Shemeji kwa esma platnumz, na Rommy Jones ni DJ wa WCB na binamu wa Diamond.
ohoooo!!!Mwenzangu nilisikia Rommy alionja mama T.
Halafu wakati wa saga la Wema, Zari na Diamond mwanzoni. Patit na Rommy urafiki wao kwa Diamond ulipungua kwa kum support Wema! I'm just wondering...Petit man ni Shemeji kwa esma platnumz, na Rommy Jones ni DJ wa WCB na binamu wa Diamond.
Wewe kweli hiyo?
Yeye pia ameitwa jumatatu kituoni!!!dhamana ni haki kama mashtaka yanaruhusu dhamana,
Mkuu hii tetes au imesha tolewa tamko na wenye kaya? [emoji13] [emoji13] [emoji13]Kimenuka... Zungu anatakiwa afike polisi J3 pamoja na akina Diamond platinum.. Ruge Mtahaba wa clouds fm