Diamond kumwekea dhamana Romy Jones na Petit man?

Diamond kumwekea dhamana Romy Jones na Petit man?

Kuoa sio tatizo kwa taarifa yako patiman na diamond no maji na mafuta hawapatani hats kidogo na hawana ukaribu hats kidogo ndo maana huwezi kumkuta petiman kwenye shughuli yoyote ya diamond I we white party, shows au hats shughuli za kifamilia sijui birthday au arobaini ya watoto wake
We jamaa leo unapovuka na utetezi wa huyu mtu..
Nauliza tu unani kwake?
Acha hoja zitambae uongo na ukweli vitajichuja vyenyewe sio kwa kulazimisha
 
We jamaa leo unapovuka na utetezi wa huyu mtu..
Nauliza tu unani kwake?
Acha hoja zitambae uongo na ukweli vitajichuja vyenyewe sio kwa kulazimisha
Hahaha kawaida naona watu wanaleta hisia zao baada ya vitu vya ukweli
 
Unazidi kuonyesha ujinga wako hapo wapi? Na wanaenda wapi?
Pole sana mkuu
Hiyo ilikua ni siku wanaenda kwenye media kutangaza show ya Jangwani Breeze,
Unamtenganisha vipi Diamond na Dj wake ambaye ni binamu yake pia?
 
Hiyo ya kulala polisi bado haithibitishi kwamba wana hatia, kumbuka mtu anaweza kuwekwa mahabusu(rumande) hata zaidi ya mwaka mzima upelelezi ukikamilika ndio anatolewa hukumu, kama ana hatia anafungwa kama hana hatia anaachiwa huru, kitendo cha kuwekwa rumande ni kuhakikisha mtuhumiwa hayuko uraiani ili asije kuvuruga ushahidi(uchunguzi)

Wakati mwingine ni kumuweka salama kwa mfano mtu ameua ndugu za marehemu wanaweza kumuua huko mtaani.
Mpaka kufika jumatatu watakuwa wameshajua mtumiaji ni yupi.
Utaona tu wanaoweweseka kwa uarosto
 
Jidanganye hivyo hivyo, mali zako na Diamond ukijumlisha zote hazifiki hata robo ya mali zangu.

Mimi ni bendera la mbao, ni wabongo wachache sana, hawafiki kumi wanaonizidi kwa akili na mali
Duuuh kumbe Mzee Mengi mpaka wewe upo Jamii Forum?!

vipi K-lyn na watoto wote wazima?!
 
Usipende pia kukurupuka mkuu na shemeji sio ndugu yako hata siku moja na isitoshe Diamond alikataa dada yake kuolewa na petit na ndio maana hata siku ya harusi ya esma diamond hakuwepo.Nadhani umenielewa shemeji yako sio ndugu yako
Kwahyo Shemeji yako atakuwa ni jiran yako?
 
Una uhakika na yeye atapona?
Ukute yote ni mizigo yake;
 
Inawezekana maombi ya mchungaji Sanga mengi anaomba ulinzi kwa mwanae Linah sanga hakutajwa kwenye hii list ni ajabu sana.
 
Kidogo nimeanza kupata picha kwa nini Diamond na Rommy walianza kutokuwa karibu. Kuna uwezekano mkubwa Diamond alishamuonya Rommy na ndio maana kwa kipindi kirefu wamekuwa hawafanyi kazi pamoja hadi kupelekea watu kuhoji kama ugomvi katika familia.
 
Back
Top Bottom