Bahati mbaya umegoma kuielewa mantiki yangu maana hata mashoga pia wanalilia haki zao za kusodomwa.
Fuatilia post zangu mmu kuhusu swala la watoto kabla ya ndoa utaujuwa msimamo wangu ni upi?
Kuna kina Kiranga humu hawaamini Mungu wao kwahiyo neno langu siyo sheria nilichosema nampongeza Daimond kwa kutozaa kabla ya ndoa maana inaonekana sasa kama plessure ya wapambe kumfanya Daimond naye awe baba wakati kwa mtazamamo wangu ni kwamba ni fahari kuitwa Baba ndani ya ndoa.
Kama huku ndio kumchukia Daimond basi nihesabu mimi namchukia huyo dogo.
Usichokijuwa ni kitu kimoja tu maandishi tunayoandika hapa ni urithi kwa kizazi kijacho watasoma hapa wapo watakaoniona mimi nilikuwa kama nabii kusisitiza kwa ambaye haijamtokea bahati mbaya bado wake kwa waume wajitunze mpaka watakapokuwa wamefunga ndoa, single parents ni janga tayari kwa Taifa si jambo la kujionea fahari.
Failure za Ally Kiba haziwezi kuwa ni usahihi kwangu, kamwe siwezi kufanya ujinga kama wa Kiba kuzaa na wanawake watoto watatu kila mtoto na mama yake, hell no.
Mtu kama Ally Kiba definetely hana sifa ya kuja kuchumbia kwenye familia yetu hata siku moja.
Atafanikiwa kimuziki lakini kifamilia tayari amechacheza mansantula.
Kwa wanaodhani mwanamke mwenye watoto watatu na mume walietengana naye hana fillings naye tena ni kuzidanganya akili zenu tu za kuvukia barabara.