Diamond kupata mtoto

Diamond kupata mtoto

Tumbo la kuhara lazma likushike plus kutojisikia kufanya chochote...kwa kfupi unakuwa na siku mbaya...I can imagine bidada...anahali gani

Kwa kweli lazima tumbo likushike aisee.
Hasa kama mwanaume ulikua unampenda!Kwa hili simcheki bali namuonea huruma.
 
Sifa kuu ya mwanaume n kutia mimba
Hongera diamond
 
Lazima ujue kutofautisha kati ya x na kuzidisha, msalaba na jumlisha.
 
Bahati mbaya umegoma kuielewa mantiki yangu maana hata mashoga pia wanalilia haki zao za kusodomwa.

Fuatilia post zangu mmu kuhusu swala la watoto kabla ya ndoa utaujuwa msimamo wangu ni upi?

Kuna kina Kiranga humu hawaamini Mungu wao kwahiyo neno langu siyo sheria nilichosema nampongeza Daimond kwa kutozaa kabla ya ndoa maana inaonekana sasa kama plessure ya wapambe kumfanya Daimond naye awe baba wakati kwa mtazamamo wangu ni kwamba ni fahari kuitwa Baba ndani ya ndoa.

Kama huku ndio kumchukia Daimond basi nihesabu mimi namchukia huyo dogo.

Usichokijuwa ni kitu kimoja tu maandishi tunayoandika hapa ni urithi kwa kizazi kijacho watasoma hapa wapo watakaoniona mimi nilikuwa kama nabii kusisitiza kwa ambaye haijamtokea bahati mbaya bado wake kwa waume wajitunze mpaka watakapokuwa wamefunga ndoa, single parents ni janga tayari kwa Taifa si jambo la kujionea fahari.

Failure za Ally Kiba haziwezi kuwa ni usahihi kwangu, kamwe siwezi kufanya ujinga kama wa Kiba kuzaa na wanawake watoto watatu kila mtoto na mama yake, hell no.

Mtu kama Ally Kiba definetely hana sifa ya kuja kuchumbia kwenye familia yetu hata siku moja.

Atafanikiwa kimuziki lakini kifamilia tayari amechacheza mansantula.

Kwa wanaodhani mwanamke mwenye watoto watatu na mume walietengana naye hana fillings naye tena ni kuzidanganya akili zenu tu za kuvukia barabara.
you are in denial Matola , ila grudge ( or resentment ) yoyote unayo hold kwa Nasibu ni very strong, sema unge tu-enlighten tungekua tunajua ni kwa sababu ipi...nimeongelea hilo swala kwasababu hapa sio mahala pa kwanza kwenda tofauti na yamhusuyo diamond...If you could only say what is the cause of that bitternes you have on Nasibu, if you could...Nilielewa sana mantiki yako kuhusu mimba za nje ya ndoa ila nimeingiza suala la chuki kwa diamond kufuel swali langu
 
Last edited by a moderator:
kuna ukweli hapa au ndo mambo ya technology? afu asizae waseme diamond hana mayai..
 
Back
Top Bottom