Diamond kupata mtoto

Mtoto sio nguo

Kwanza anaelewa alichokiandika chini ya hiyo pichaa???kiwango chake cha elimu alichokuwa nacho kinamwambia kwamba kuna njia gani nyengine ya kufanya ili mtoto apatikane zaidi ya kusubiri miezi 9,eti "i can not wait" hawezi kusubiri ana ahadi na Mungu?sio kila kitu ni cha kukianika hadharani au ndio usanii labda.
 
what is wrong? Imani inaweza kuamisha mlima!
Sioni hoja ya msingi kwenye ulicho kiandika! Ina maana tuache kufanya maendeleo na kufurahi kwa kuwa tunajua saa yeyote twaweza kufa? Tunaishi kwa imani hata wewe ulipo zaliwa au ukuwa tumboni mwa mama yako wazazi waliamini utazaliwa salama na uko salama mpaka leo kwa imani!
 

na wewe kujifanya unajua lugha unachukua direct translation....i can not wait eti hawezi kusubiri! tafsiri yake ni zaidi ya hio direct translation yako....i can't wait means to be very eager/anxious/impatient na hio ni kawaida ya mtu akiwa anategemea kitu akipendacho achilia mbali mtoto.
 

Teh Teh ametumia tafsiri sisi....
 
Baada ya sokosoko kuu la kwanini?? muda wote huu kijana
Nassib Abdul – Diamond Platnumz pamoja na list yake
ndeeeefu ya mabinti wa bongomovies aliowahi kutembea
nao hajawahi kuwa hata na mtoto wa kusingiziwa,

HATIMAYE jana kupitia kwenye nyezo za kiteknolojia
tumeweza kudokezwa juu ya ujauzito alionao mwanadada
ZARI ambao ni fika utakuwa wa kijana huyu anayetamba
na wimbo wa “Nitampata wapi” ambao wachunguziwa
mambo wanadai ETi ni dedication kwa mpenzi wake
maarufu wa zamani.

USHAHIDI WA UJAUZITO HUO

Usiku wa jana, Dimaond aliweka ujumbe unaosema “ I can
not wait to have you on my hands #Chibu_Junior ”
akimaanisha “siwezi kusubiri kukuweka kwenye
mikono yangu #Chibu_Junior ” huku akiambatanisha
na picha ya Ultra sound aliyoupiga na Zari (Kama hujui
Ultra sound ni nini Tafadhali google) na baadaye Zari naye
akapost picha yake akichukuliwa vipimo hivyo bila
kuandika kitu chochote na kuwaacha wananchi
wakimwagika na comment za kutosha kuhusu picha hizo
ambazo fika zinaonesha wawil hao wanaweza kujaliwa
mtoto mwaka huu
Je unafikiri hii inaweza kuwa “Project nyingine” au ni kweli
wawili hawa wanatarajiwa kuwa wazazi?? Tupe maoni yako
 

Attachments

  • 1421260036227.jpg
    13.2 KB · Views: 899
Nonses kujadili maisha ya watu......na wao kujionesha onesha pia ni upuuzi.....wazazi wapo uswahilini na hujifungua kwa usalama hata Mara 40....sioni cha ajabu hapo....period.
 
geniveros hope kwenye huu uzi hakuna team pinzani aliyepita huku akarusha dogo, au labda ni sawa na haki team kiba kupita kwenye uzi wa diamond na kumkejeli diamond watakavyo huku wengine mkiwasindikiza kwa likes kibao lakini ni dhambi kubwa na uchokozi wa hali ya juu team diamond kupita kwenye uzi wa kiba kutoa mrejesho wa kejeli za team kiba??
 
Last edited by a moderator:

mi mbona nachukulia poa tu kijana kua na mtoto
na hao wengine si kiba si daimond am telling u
labda km sijasoma comments ngoja nisome kwanza
 
Last edited by a moderator:
Chaku shangaza nn msiwe wanjinga kupitiliza jamani nenda Mhimbili sasa hiv utakuta wakina mama wana jifunguwa kibao mimi leo mke wangu kani tolea toto lau kweri
 
mi mbona nachukulia poa tu kijana kua na mtoto
na hao wengine si kiba si daimond am telling u
labda km sijasoma comments ngoja nisome kwanza

poa wangu alafu usisahau kumpongeza almas anaexpecty aisee, eeh Mungu isijekuyeyuka kama zile nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…