Diamond kupata mtoto

Diamond kupata mtoto

Kama baba yako hakukupeleka shule mlaani sana mpaka siku yako ya kifo...huyu kijana almas ni shule tu ndo inayomuangusha, nashangaa na mama yake anaunga mkono huu uhusiano na huyu ma.la.y.a wa kiganda...hivi kuna mama humu duniani anaweza kukubali mwanae awe na uhusiano hadi mimba na ji mama la watoto watatu hata liwe zuri kama malaika???huu ni ujinga wa hali ya juu mama na mwanae zero brain wanazugwa na huyu mganda...hivi kuna watu kweli hawawajio waganda hapo east afrika??

umlaani baba yako kwa kutokukupeleka shule unajua sababu zilizomfanya asikupeleke shule??? unafikiri wazazi wote ambao wameshindwa kusomesha hawapendi watoto wao waende shule.....kama hujui kuna familia zinaishi chini ya dola moja kwa siku nchi hii,kuna wazazi mtoto akifaulu kwenda sekondari ni shida kwao.

halafu acha kasumba. mapenzi hayana umri. pia kuwa na watoto watatu au wanne haimaniishi huyo mwanamke hafai kuolewa,labda ungezungumzia tabia za mwanamke husika na sio idadi ya watoto na umri.
 
Kulikua na haja gani lakin ya kupost hii picha kwa mtandao.

Sielewi mimi tu, au!? Au nazeeka..!!

Ure right kwa asilimia miamoja, umri umekutupa mkono kwenye hili
Ure too old for that shit
 
Kama baba yako hakukupeleka shule mlaani sana mpaka siku yako ya kifo...huyu kijana almas ni shule tu ndo inayomuangusha, nashangaa na mama yake anaunga mkono huu uhusiano na huyu ma.la.y.a wa kiganda...hivi kuna mama humu duniani anaweza kukubali mwanae awe na uhusiano hadi mimba na ji mama la watoto watatu hata liwe zuri kama malaika???huu ni ujinga wa hali ya juu mama na mwanae zero brain wanazugwa na huyu mganda...hivi kuna watu kweli hawawajio waganda hapo east afrika??

Inawezekana wewe baba yako akawa kakupeleka shule na ukasoma lakini ukawa pia hujaelimika
Kama kweli umesoma na ukaelimika huwezi kuandika ulicho andika, sababu mzazi wako hakuchagulii mwenza wako wala haishi naye yeye ila wewe
We are not living in stone age dude
 
Upuuzi usio na kifani, huu umaarufu kunuka unaitwa, hata jambo hili lakutangaza? Kuna watu hawana kazi kabisa, kutwa kufatilia wema, diamond sijui nani, hebu Fanyeni kazi Acheni upuuzi kama huo, hata ningekuwa maarufu kiasi gani siwezi kuweka kila kitu changu wazi namna hii
 
wewe ulitakiwa uwe mfano....maana yake usingepoteza muda wako kusoma wala kuchangia....lakini unafanya hicho hicho unachoita upuuzi usio kifani.
 
Hizi timu zinakoelekea kubaya... Huenda sisi mashabiki tunajenga au tunabomoa kabisa.

Kama Diamond alipost hii picha kwa kumjibu Alli kiba zile picha za watoto au kuwajibu wanaomwita MGUMBA.... ALIKOSEA SANA.

Kama kweli kasababisha kwa Zari , hakukua na haja kabisa ya kuanza tapatapa. Angetulia tuli ,, ije ituchukue kama bonge la surprise. Sasa hapa kashawapa ulaji waganga.,, haters watafanya lolote wawezalo. Sijui.

kweli kabisa, hapa dogo kaanguka kabisa wala sio kuteleza, nadhani amepost kukata vidomo domo vya watu lakini hakufikiria vizuri ndio maana naona kama alipanic flani, haukuwa muda sahihi kabisa wa kuweka haya mambo hadharani.
 
Back
Top Bottom