Mtoto sio nguo
Kila mtu kuwa nayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoto sio nguo
Ndo maana yake aiseeee.....loooh ila kuanika hii picha sidhani Kama ina huuuu
you can adopt a boy and adapt to the change.......
unahisi wenye roho mbaya watafanya yao ha ha ha when jesus say yes nobody can say no!!!
nawaombea heri na wapate mtoto wa kike
Kama baba yako hakukupeleka shule mlaani sana mpaka siku yako ya kifo...huyu kijana almas ni shule tu ndo inayomuangusha, nashangaa na mama yake anaunga mkono huu uhusiano na huyu ma.la.y.a wa kiganda...hivi kuna mama humu duniani anaweza kukubali mwanae awe na uhusiano hadi mimba na ji mama la watoto watatu hata liwe zuri kama malaika???huu ni ujinga wa hali ya juu mama na mwanae zero brain wanazugwa na huyu mganda...hivi kuna watu kweli hawawajio waganda hapo east afrika??
Kulikua na haja gani lakin ya kupost hii picha kwa mtandao.
Sielewi mimi tu, au!? Au nazeeka..!!
Kama baba yako hakukupeleka shule mlaani sana mpaka siku yako ya kifo...huyu kijana almas ni shule tu ndo inayomuangusha, nashangaa na mama yake anaunga mkono huu uhusiano na huyu ma.la.y.a wa kiganda...hivi kuna mama humu duniani anaweza kukubali mwanae awe na uhusiano hadi mimba na ji mama la watoto watatu hata liwe zuri kama malaika???huu ni ujinga wa hali ya juu mama na mwanae zero brain wanazugwa na huyu mganda...hivi kuna watu kweli hawawajio waganda hapo east afrika??
sio wa kwanza wala hatakua wa mwisho kupata mtoto
BTW tuko zaidi ya millioni 45.
Nimekusoma nabii
Siyo nabii tu naweza kuwa mtume pia.
Sawa sawa, Mtume na nabii matola
Upuuzi mtupu! Hili jukwaa ni shidaaa! Ngoja nirudi zangu!
Upuuzi usio na kifani, huu umaarufu kunuka unaitwa, hata jambo hili lakutangaza? Kuna watu hawana kazi kabisa, kutwa kufatilia wema, diamond sijui nani, hebu Fanyeni kazi Acheni upuuzi kama huo, hata ningekuwa maarufu kiasi gani siwezi kuweka kila kitu changu wazi namna hii
Hizi timu zinakoelekea kubaya... Huenda sisi mashabiki tunajenga au tunabomoa kabisa.
Kama Diamond alipost hii picha kwa kumjibu Alli kiba zile picha za watoto au kuwajibu wanaomwita MGUMBA.... ALIKOSEA SANA.
Kama kweli kasababisha kwa Zari , hakukua na haja kabisa ya kuanza tapatapa. Angetulia tuli ,, ije ituchukue kama bonge la surprise. Sasa hapa kashawapa ulaji waganga.,, haters watafanya lolote wawezalo. Sijui.