Diamond kupiga shoo ya bei ghali zaidi kuwahi kutokea katika historia ya Muziki wa Tanzania

Kha! Anakuja kutoka wapi? Game likikutema ndio umekwisha huyo Kiba atafute shughuli nyengine afanye sio mziki. Hakuna anaemjua kwa sasa.


Sent from my SM-G800H using Tapatalk
 
Chameleone anafanya show december inaitwa One Man Show One Milioni, kiingilio pale Munyonyo Resort kampala itakuwa ni milioni moja! Tuwaombee wasanii wetu wafike level hiyo ila kutokana na nyodo za Diamond sioni akifika huko

Is it UGS or TZS?
 
braza usiangaike.hata hao team kiba wanajua hilo ni vbur tu hawashangai ali kiba naye ana madensa
 
Wajinga ndio waliwao, kwa show ya playback unategemea kuona nini kipya kutoka kwa msanii wako. Siwezi kushangaa kwa mafanikio ya Diamond "mwanamuziki" hana hata chombo chochote cha muziki, even microphone.
 
Sijui nikupe ninii kwa hili jibu lako hebu nenda kwenye friji yako hapo chukua kinywaji chochote unyweee uburudikeeee

Ofa gani za kumlewesha mtu na pombe zake mwenyewe
 
Revocatus Kashaga;10975245]Ugs which is apporixametly to 700,000 Tsh basing on the latest exchange rates!

Wow love Jose ana stahili such a show!!
 
Hivi si ilikua jana?mbona hawajaleta mrejesho???
watasema!!!
hehehe na ile beat,buh buh buh kitorodo kitorodo mwendawazimu kaingia'' yani nachoka
 
watasema!!!
hehehe na ile beat,buh buh buh kitorodo kitorodo mwendawazimu kaingia'' yani nachoka

Si alisema atafanya video nyingine baada ya kuona ile imechuja haraka???
Hilo hawalisemi kazi kuikomalia video ya mwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…