Diamond kupiga shoo ya bei ghali zaidi kuwahi kutokea katika historia ya Muziki wa Tanzania

kweli kiba anajua kukamata watu pabaya hawana pa kupumulia kiba ni mwanamziki dadamond ni mfanya biashara wa mziki kiba hana mashauzi ila dadamond akinunua hata boxer anataka watu wote wajue.angalizo wa tz hawapendi dharau mwambie amuulize rafiki yake mtarajiwa mr nice

Mlitaka tu na kiba aitwe wooo mwache Diamond atafute pesa ma nigaa
Anaetaka sifa kua hajionyeshi aacheee domo anasaka notiii
 
ndo ilivyo ila si unajua wamekuja kupotosha mi nawaambia daimond yule wa forever kwisha habari yakeeeee
km mnabisha aandae show tena peke yake mlimani city uone km hajalia mchozi wa damu

nilijua niko less informed kumbe ndiyo hivyo mkuu,kweli huyu Daimond are forever now amekwisha mpaka wanadandia shughuli za watu na kusema zao,ngoja tuone litakalo tokea leo,but Yamoto band watamfunika kwa mbali sana aiseee
 
hahahahaha duu...mzee umezoea kulala mchana shemeji yako akienda kazini? kulala sitting room shida sana..naona jana wajomba zako walikuwa wanaangalia tamthilia mpaka late night ikabidi ukae kwenye koch mpaka wa malize ndio utandike mattress ulale..so unalipizia usingizi baada ya shemeji yako kwenda kazini..poyeee

Ukibishana na watoto na we utaonekana mtoto. Nna uwezo wa kufuga mbuzi kama wewe 10 nyumbani kwangu mle,mnye,mlale. Usilete dharau kwa watu usiowajua ----- wewe
 
ya moto band nawakubaki sana ht mi pia ningeenda kwa sababu ya yamoto band
halafu mbona miss tz kiingilio kinakuwaga kikubwa na wasanii wachache tu mwaka
pale ameitwa kwenda kutumbuiza tuu km juzi kwenye birthday ya kylinn

Unawakubaki sana ee
 
nilijua niko less informed kumbe ndiyo hivyo mkuu,kweli huyu Daimond are forever now amekwisha mpaka wanadandia shughuli za watu na kusema zao,ngoja tuone litakalo tokea leo,but Yamoto band watamfunika kwa mbali sana aiseee

Umeshaanza kujipa kazi za utabiri...mtabirie na kibakuli basi
 
nilijua niko less informed kumbe ndiyo hivyo mkuu,kweli huyu Daimond are forever now amekwisha mpaka wanadandia shughuli za watu na kusema zao,ngoja tuone litakalo tokea leo,but Yamoto band watamfunika kwa mbali sana aiseee

Amekwisha sana kiasi kwamba tuzo zote kubwa afrika anakuwa nominated...kusema za ukweli amekwisha huyu diamond hadi wasanii waliopotea zama za mawe wanatumia jina lake lake ili warudi katka game ..kweli ameisha huyu diamond
 
Ukibishana na watoto na we utaonekana mtoto. Nna uwezo wa kufuga mbuzi kama wewe 10 nyumbani kwangu mle,mnye,mlale. Usilete dharau kwa watu usiowajua ----- wewe

Dada tafuta bwana uolewe acha kuishi kwa shemeji,naona una full stress... hao mbuzi unaosema wako kama tano hivi nawafuga nyumbani kwangu kama unavyofugwa wewe na shemeji yako...
 
Amekwisha sana kiasi kwamba tuzo zote kubwa afrika anakuwa nominated...kusema za ukweli amekwisha huyu diamond hadi wasanii waliopotea zama za mawe wanatumia jina lake lake ili warudi katka game ..kweli ameisha huyu diamond

time will tell mkuu, hata mr nice kabla ya kufulia alipiga show moja kali sana,tena ya kihistoria pale Rwanda..ukishafika peak kinachofuata ni kushuka tu..that is a principle mkuu
 
Amekwisha sana kiasi kwamba tuzo zote kubwa afrika anakuwa nominated...kusema za ukweli amekwisha huyu diamond hadi wasanii waliopotea zama za mawe wanatumia jina lake lake ili warudi katka game ..kweli ameisha huyu diamond

Hahahaaa zama za maweeeee....
 
ya moto band nawakubaki sana ht mi pia ningeenda kwa sababu ya yamoto band
halafu mbona miss tz kiingilio kinakuwaga kikubwa na wasanii wachache tu mwaka
pale ameitwa kwenda kutumbuiza tuu km juzi kwenye birthday ya kylinn

Elfu ishirini ndio kiingilio kikubwa?
 
Haha au umejikita katika kumtabiria Dimond tu

mkuuu nimetabiri pande zote mbili zitakazopiga show hiyo leo..nimesema ya moto band watashine na kumfunika Dangote,while Dangote leo asitegemee muujiza ingawa hata zomewa kama siku ile
 
na siku hiyo hiyo Alli Kiba atapiga show Mango Garden, kiingilio ni tsh. 5,000. hata hivyo mashabiki wake wamelalamika kuwa kiingilio hicho ni kikubwa sana hawakimudu
 
Hahahaaaaa acha utani bwanaaa...
 
na siku hiyo hiyo Alli Kiba atapiga show Mango Garden, kiingilio ni tsh. 5,000. hata hivyo mashabiki wake wamelalamika kuwa kiingilio hicho ni kikubwa sana hawakimudu

Hhhhhaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom