Kiwa
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 2,102
- 907
Hhhhhhaaaaaaaaaaa
Bila kusahau la SITTI maana kashamzidi wema kwa kiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hhhhhhaaaaaaaaaaa
Bila kusahau la SITTI maana kashamzidi wema kwa kiki
tamasha la msanii kutakua pia nayamoto band
acheni mbwembwe nyie uongo uongo miingi
zile zama za diamond forever hazipo tena
Na nani mwingine???....Dimond na ya moto band peke yao tu..haha
Natudia tena mods azisheni jukwaa la DAYAMONDI
Na nani mwingine???....Dimond na ya moto band peke yao tu..haha
Kamzidi wema kweliii, wema roho inamuumajeee
we mchina bado hujajua swahili vizuri? endelea kushinda kariakoo utajua tu
Kanye ukalale huko
We unapendajee???
kwani hii show ya leo ni ya Dimond au kuna tunzo zinatolewa? sio kwamba yeye Dimond ameitwa kutumbuiza tu? maana nasikia na ya moto band watakwepo? if that is the case huwezi sema Dimond anapiga show kali za 70,000 maana si shughuli yake, or else niwe sina information za kutosha on this..ndio maana kuogopa kubwata
Hhhhjhhaaaaa walisimama mwanzo mwishooo wanafaa wapelekwe JKT
Kanye ukalale huko