Diamond kupiga shoo ya bei ghali zaidi kuwahi kutokea katika historia ya Muziki wa Tanzania

Diamond kupiga shoo ya bei ghali zaidi kuwahi kutokea katika historia ya Muziki wa Tanzania

tamasha la msanii kutakua pia nayamoto band
acheni mbwembwe nyie uongo uongo miingi
zile zama za diamond forever hazipo tena
 
Huyu ni msukule wa cloudsfm atajifanya wa gharama akifika cloudsfm fiesta ana lamba ka laki 8 kama wenzie chezea ruge wewe goma akupoteze kwenye game
 
kwani hii show ya leo ni ya Dimond au kuna tunzo zinatolewa? sio kwamba yeye Dimond ameitwa kutumbuiza tu? maana nasikia na ya moto band watakwepo? if that is the case huwezi sema Dimond anapiga show kali za 70,000 maana si shughuli yake, or else niwe sina information za kutosha on this..ndio maana kuogopa kubwata
 
Wasanii hawapendani na wanaoneana wivu. Ila dogo awekeze sana katika investments kadhaa ikiwemo real estates. Usanii kama hujajipanga vizuri kuna mahali unachuja na unaweza futika katika ramani au cycle ya usanii na mifano hai ipo.
 
We unapendajee???

ya moto band nawakubaki sana ht mi pia ningeenda kwa sababu ya yamoto band
halafu mbona miss tz kiingilio kinakuwaga kikubwa na wasanii wachache tu mwaka
pale ameitwa kwenda kutumbuiza tuu km juzi kwenye birthday ya kylinn
 
kwani hii show ya leo ni ya Dimond au kuna tunzo zinatolewa? sio kwamba yeye Dimond ameitwa kutumbuiza tu? maana nasikia na ya moto band watakwepo? if that is the case huwezi sema Dimond anapiga show kali za 70,000 maana si shughuli yake, or else niwe sina information za kutosha on this..ndio maana kuogopa kubwata

ndo ilivyo ila si unajua wamekuja kupotosha mi nawaambia daimond yule wa forever kwisha habari yakeeeee
km mnabisha aandae show tena peke yake mlimani city uone km hajalia mchozi wa damu
 
kweli kiba anajua kukamata watu pabaya hawana pa kupumulia kiba ni mwanamziki dadamond ni mfanya biashara wa mziki kiba hana mashauzi ila dadamond akinunua hata boxer anataka watu wote wajue.angalizo wa tz hawapendi dharau mwambie amuulize rafiki yake mtarajiwa mr nice
 
Kanye ukalale huko

hahahahaha duu...mzee umezoea kulala mchana shemeji yako akienda kazini? kulala sitting room shida sana..naona jana wajomba zako walikuwa wanaangalia tamthilia mpaka late night ikabidi ukae kwenye koch mpaka wa malize ndio utandike mattress ulale..so unalipizia usingizi baada ya shemeji yako kwenda kazini..poyeee
 
Back
Top Bottom