Hospitali ya Moyo my foot. Anafikiri ni sawa na ku launch perfume!!!
wivu mtupu .............kaanzishe nawewe kama unawaza kwa roho zenu za fitina hizo naomba JPM aendelee kutunyoosha tu.Hospitali ya Moyo my foot. Anafikiri ni sawa na ku launch perfume!!!
nitajie tajiri mmoja wa kikristo aliewahi kujenga msikitiJambo jema kila la heri itahudumia wote, matajiri wa Kikristo wakijenga nyumba za ibada hawabagui ujenga makanisa na Misikiti.
Mawazo ya kitoto kabisaHii itamsafisha na ile ishu ya bashite.
Wengi tu naowafahamu binafsi ila sio vyema kutaja jinanitajie tajiri mmoja wa kikristo aliewahi kujenga msikiti
Kweli mtoto kwa mama hakuiMawazo ya kitoto kabisa
Muongo mkubwa wewe!!unadanganya bila hata haya!!wale watoto wanasoma mpaka leo na Diamond anawalipia Ada,hizo habari alizizusha shigongo na baadae akakanusha mwenyewe shigongo na kusema habari haikuwa na ukweliMkuu, hawa wanafunzi alioahidi kuwalipia ada wapo wawili na wanasoma shule inaitwa East Africa International Academy, shule ipo ile njia ya Mwenge kuelekea Coca Cola karibu sana na ofisi za Clouds.
Diamond toka alivyotoka pale nje ya geti baada ya kuahidi kuwalipia ada hawa watoto hakurudi tena mpaka kesho..!!
Hili la Hosp Tandale napata hisia GSM wapo nyuma ya project nzima.
Kumbe chibu pafyumu zake ni mkakati wa free mason

Yale maji ya maiti yamechanganywa na damu za paka na binadamu

Kwa mtu atakaye tumia atakuwa ananyonywa damu bila kujua na baada ya muda ataandamwa na mikosi .
Masharti ya free masonKatika harakati za kurudisha kwa jamii kile anachokipata, mkali wa wimbo ‘Marry You’, Diamond Platnumz, ameweka wazi mpango wake wa kujenga hospitali ya moyo na magonjwa mengine katika mtaa aliozaliwa, Tandale Jijini Dar es salaam.
Muimbaji alisema tayari amefanya mazungumzo na wadau mbalimbali na wamemuahidi kumpatia vifaa kwa ajili ya hospitali hiyo.
Akiongea na waandishi wa habari Ijumaa hii wakati akizindua perfume yake mpya ‘CHBU’, Diamond alisema hospitali hiyo itawasaidia Watanzania wa hali ya chini.
“Mafanikio yote tunayopata hatusahau kurudisha kwa jamii kile tunachokipata,” alisema Diamond. “Ukiachana na misikiti ambayo nimekuwa nikiijenga katika mikoa mbalimbali nchini Tanzania habari nje kwa ndugu zangu wa Tandale ni kwamba nataka kuwajengea hospitali ambayo itakuwa inatoa huduma pale kwa bei nafuu,”
Aliongeza, “Kuna wadau wangu wanakaa nje, nimezungumza nao wameniambia nijenge tu nay wao kuna baadhi ya vifaa wataleta. Kwa hiyo nikaona hii ni fursa na tayari kuna baadhi ya mambo ya mwanzo tumeanza kuyashughulikia. Nataka ufike muda watu waache kwenda kusafiri nje kutibiwa magonjwa mbalimbali kama moyo na mengine ambayo yamekuwa akitufanya tusafiri nje kwa ajili ya matibabu,”
Chanzo: Bongo5
Sasa atakama akitumiwa Si ndo ukouko kusaidia maana ake atakuwa kawashawishi matajiriDiamond hana pesa ya kufungua hospitali ya moyo. Ila anaweza akatumiwa kama chambo na wale jamaa wa gms
gani mbea km ww.una ushahidi?Kumbe chibu pafyumu zake ni mkakati wa free mason

Yale maji ya maiti yamechanganywa na damu za paka na binadamu

Kwa mtu atakaye tumia atakuwa ananyonywa damu bila kujua na baada ya muda ataandamwa na mikosi .
duh! panapofuka moshi pana motoKumbe chibu pafyumu zake ni mkakati wa free mason

Yale maji ya maiti yamechanganywa na damu za paka na binadamu

Kwa mtu atakaye tumia atakuwa ananyonywa damu bila kujua na baada ya muda ataandamwa na mikosi .
Hebu toa uthibitisho.Jamani hivyo vimilioni vichache ni nini kwa Diamond VS reputation yake? Hebu msiwe wazushi kiasi hicho kisa ninini? Chuki? Wivu? Au??? Hebu weka wazi!Hadi leo pesa hazijafika msiwe mnatoa ahadi z uongo