Diamond kuwa mbunifu unaiga mpaka unakera sasa

Kama anapiga pesa haisumbui. We kaa unalalama tu huku unakula ugoro sababu hauna hela za kununua fegi kisa unaogopa kuiga. Huo ni upoyoyo.
Maskini mvuta sigara unatabu
 
Hahah kachezea vitasa hajaamini hadi sasa[emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanzo kabisa mtoa mada alikuwa anakuja na gia ya udini lengo lake achafue WCB alisemaga Rayvanny kazuiliwa kujenga kanisa na uongozi wake pamoja na kulazimishwa kuvaa kanzu mtu hatakakama unachuki basi tengeneza hoja zenye nguvu ili ushawishi watu hata Kama ni uongo lakini mtoa mada hajifunzi ndomaana nyuzi zake anashambuliwaga Sana still anashindwa kujifunza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…