Mkuu
Chakaza watanzania kwa ujumla wetu kweli nimeamini tunahitaji mabadiliko, na mabadiliko hayo tunatakiwa kuanza kujibadilisha wenyewe kifkra kwanza kabla ya kuamini kuna mtu au chama kitatubadilisha, tukilijia hilo wala usinge hitimisha kwa kauli ya mada yako
Diamond ni mwanamuziki pekee nchi hii ambaye amepata mafanikio kuliko mwanamuziki yeyote hapa tz, na ni mwanamuziki anayeongoza kwa kupendwa sana na kuchukiwa sana kuliko wote
Alipotoa kamwambie kisha mbagala na kupata umaarufu wa kutosha kibongo bongo ndipo maneno yakaanza, mara hatafika mbali na sababu zikatengenezwa kibao kama hii yakwako, lakini siku zote Diamond anazidi kuwa juu zaidi ya alipokuwa
Diamond anajua ipo siku atashuka kimuziki sababu ndio ilivyo, watu wanaisubiria sana hiyo siku lakini wanasahau kitu kimoja Mungu ndio mpangaji, ukijituma kwa bidii Mungu hata kutupa kamwe.......hard work pays
Daimond hivi sasa yupo kwenye ubora wake ni muda wa kutengeneza pesa, yupo ccm kikazi zaidi, unajua analipwa zaidi ya m100 kwa kila show anayofanya, ungekuwa wewe ungekataa?
Mabere Marando wakati wenzake wako bize bungeni kuwakomalia wezi wa epa wafikishwe mahakamni lakini yeye ndio akawa wakili wao kuwatetea tena kwa kuomba kesi itupiliwe mba li..........sababu alikua kikazi zaidi
Hivi ukipewa tenda ya kujenga jengo la ccm utakataa? Hivi ccm wakitaka kukodi ukumbi hoteli yako utakataa? Hivi unavyo waona akina drogba wanasifia na kutangaza sumsang wanatoa moyoni? .......ni kazi
Naamini Diamond amekosa tunzo nyingi sana kuliko alizo wahi kuteuliwa, akikisa na hii ni sehemu ya maisha tu wala sio ccm, kama ni kwaajili ya ccm labda atakisa za kili sababu ushindi ni 100% unatokana na kura lakini sio tuzo zinazotokana na kura na others factors
Kumtemgenezea Diamond sababu za kushuka hakuta mshusha,
Jana nmb wamemuingizia mwanae Tiffah milion 40 kama udhamini wa kuonyesha sura yake hadharani kwa mara ya kwanza, we unasema atashuka