victor moshi
JF-Expert Member
- Oct 17, 2014
- 829
- 1,061
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania ni wasahaulifu sana
Khaa!! Unajua Dangote anapata wapi mshiko wake au unaandika tu? Unajua naye ni mpigakura na ana utashi wake? Acha ujinga bana!
Ndio maana kumbe kweli kipaumbele cha kwanza kiwe elimu. Mada inasema "Diamond kuwa msanii wa kwanza kuumizwa na siasa" sasa hayo ya akikosa au akipata tuzo yanatoka wapi?
Kwa vile jicho lako haliangalii impact ya siasa inayoongelewa katika sanaa hasa kwa kiwango cha nchi yetu wewe unadhani ni yale mambo yenu ya timu nani sijui na nani huwezi kuelewa kamwe. Binafsi napenda sana vijana waendelee kupata tuzo hasa za kimataifa kwani zina inua muziki na wasanii wenyewe, mashaka yangu ni hiyo Impact ya kisiasa inavyoweza kupunguza kasi zao bila wenyewe kujua.
Mkikosa hoja mnaanza kuhororoja na kubwabwaja bila mpango.
Watu wenye roho mbaya utawajuwa tu.
Halafu hawa wachagga ndiyo tuwape Ikulu?
Mawee!
Halafu hawa wachagga ndiyo tuwape Ikulu?
Mawee!
Mleta uzi una husda za kichawi hiyo tuzo akiikosa utapewa wewe?
Hii ni hasara kwa walompenda chibu wakijua yeye ni chadema
Waige mfano kutoka kwa kundi LA WEUSI waliokataa mamilioni ili wajihusishe na kampeni za kisiasa
Kwanini tusiendelee kuwa masikini! ??
Inasikitisha sana.