Manchris Jbisd
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 691
- 494
Fuatilieni basi hata akina Jay z huko nje wanashirikije siasa acheni mihemko na mapovu yasiyo na hoja.
Wasanii wa marekani wanaojihusisha na siasa ni wale ambao wameridhika na hapo walipo, na wamekuwa wajasiliamali wa siku nyingi, hivyo hawajali mashabiki watakaopoteza. Mfano, huyo uliyemu-address... Kama msanii anahitaji expansion ya domain yake ya mashabiki hana budi kutojihusisha katika magroup mbalimbali ya kijamii na kiitikadi. Think about it. Swala sio diamond anashabikia chama gani, bali kutumia jina lake la kisanii ku-influence decisions za wananchi kweny siasa. Kwa mawazo yangu, nadhani kila mtu ana haki ya kuamua pa kuegemea... Lakin inabid atambue siasa itapunguza mashabiki. Thats all