Danpol
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 5,727
- 8,918
2010 diamond alikua underdog tofauti na sasa yupo kwenye peak yake kisanii hao kina chege this time hawa hit ka mwanzo,Marlow 2010 ndo alikua msanii anaye hit kila corner Tanzania
Point ya msingi sijaiona bado , Marlow hakuachishwa mziki aliacha mwenyewe
Kwann msiseme akina Roma au Ney wa Mitego? Tuache double stand , Leo ukipitia ukurasa wa instagram wa Ali Kiba, Ana i kampenia CCM , lkn n nadra sana kunyooshewa kidole , Nenda kwenye ukurasa wa Young De , anafanya kile kile anachofanya Ali K lkn matus usipime
Ukienda kwenye ukurasa wa Kala Jeremiah , ana kampenia UKAWA , lkn hakuna anae mhoj , ama huu sio upande?
NB. Kama kigezo n anae HIT , vip kuhusu kina NEY ROMA NA ALI K? ama hawa n Ruksa?