Diamond kuwa msanii wa kwanza kuumizwa na siasa

Labda anajivunia mashabiki walioko nje ya TZ maana muziki wake ni kama umevuka boda
 
Watu wanasahau haraka sana aisee.Ndio maana ENL alisema,kipaumbele cha kwanza elimu,cha pili Elimu na cha tatu pia
 

Attachments

  • 1443533793553.jpg
    23 KB · Views: 206
Mkuu Daimond muziki ndio "permanent taaluma yake" ndio inayomuingizia kipato kama vile Mabere na taalumu yake ya uanasheria
Gwajima anawafuasi wa vyama vyote je kuna tofauti gani na Diamond mwenye washabiki wa vyama vyote?
Roma, Ney wa mitego, Wema hao na vipo? Mbona nongwa ni kwa Diamond tu!!!!!!!!!!

Diamond kaingia mkataba na CCM kama hujui na moja ya makubaliano ni kuipigia kampeni, kupigia kampeni CCM sio dhambi ni chaguo lake linalotakiwa kuheshimiwa sababu tuna maisha baada ya uchaguzi

Mnatumia nguvu nyingi sana Daimond kuipigia kampeni CCM ionekane ni nongwa eti atapoteza mashabiki
 
Haiwez kula kwa diamond hata siku moja asharefuka kifedha hadi kipaji mapedeshee wote wa serkali wabamjua wewe anakujua nani kwa hivyo ulivo hata akifall hawez kufanana na hali yako
 
Mkikosa hoja mnaanza kuhororoja na kubwabwaja bila mpango.

Watu wenye roho mbaya utawajuwa tu.

Halafu hawa wachagga ndiyo tuwape Ikulu?

Mawee!
this election inaweza kuwa your worst nightmare-lowasa lazima awape usumbufu wa kutosha na ndio hapo utakapoheshimu wachaga
 
Msanii anayeshabikia ccm lazima akataliwe na wananchi maana ccm yenyewe imechokwa
 
this election inaweza kuwa your worst nightmare-lowasa lazima awape usumbufu wa kutosha na ndio hapo utakapoheshimu wachaga

Lowassa mchagga?

Lowasa kawanunua wachagga, wasioukuwa na haya. Wanauza mpaka utu wao kwa pesa.
 

Bora nimpigie kura Dudubaya ama Shilole kuliko huyo mchumia tumbo anayeishi kwa kiki za wanawake mashuhuri.
 
Hayo ni maneno yako ww na sio ya wote@jizungumzie ww kama wewe na sio kuwataja wengine ambao 2namkubali
 

Duh. ndo maana mnaitwa wapumbavu.. kwa taarifa yako diamond ndo msanii atakae kuwa juu kwa mudq mrefu na kufanikiwa zaid ya wasanii wote tz. atakuwa bilionea kuliko msanii yeyote tz. atajulikana kila kona ya dunia kuliko msanii yeyote tz.
yaan atavunja record ya kila kitu.
endelea kubwabwaja huku mwenzako anaendelea kuvunja record kila siku.
 
Nimeamini elimu ni kitu muhimu sana. Wewe unanishambulia bila kujua msimamo wangu. Mada inasema Atakuwa msanii wa kwanza kuumizwa na siasa. Sio kuwa mie simuungi mkono. Kujadili jambo kunataka akili sana, maana lazima uelewe mada kisha umuelewe mtoa mada kasimamia wapi. Nakushauri nenda shule kwanza kisha njoo JF uchangie labda utakuwa umepata uelewa kidogo na sio mihemko.
 
Binafsi nitarudi kuwa mshabiki wa diamond uchaguzi ukiisha, kwasasa diamond ananipotezea muda.
 

tatizo lenu nyie wa tz kila kitu mnaingiza siasa. diamond yupo kibiashara na ana mapenz na ccm. anaelewa nini ccm inafanya kuinua muziki na kutoa fursa na ndo maana akaitumia hiyo fursa na kufanikiwa.

nyie mnaotaka kushabikia wachinja watu with 0 benefit za uchumi wako au wa biashara zako mtaumia bure.

yule ameshavuka level ya kuumizwa na mashabiki kama ww. yule ataendelea kuwa mtu mkubwa sana. yaan ataendelea kuwa tajiri hata akiacha muziki leo.

na kama ulikuwa hujui. ana play global. kimataifa zaid. kama nusu ya watz watauchukia muziki wake kuna wa kenya na waganda. kuna wanaigeria na wa south. kuna mataifa mbalimbali yatamwingizia hela kupita unavodhan
yule ana mtandao kuliko wa bakhera.

funguka uelewe unachoshabikia. diamond sio mwanamuziki mdogo ambae anaweza kuumizwa na vikaul vya hapa jf.
 

Leta mrejesho...
 


Leta mrejesho kapata ngapi?
 

Haya japokuwa hukusema ataumizwa lini... Nadhani ushaanza kupata majibu Diamond ni mtu wa aina gani jinsi gani amejipanga kwenye game
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…