Msanii anayeshabikia ccm lazima akataliwe na wananchi maana ccm yenyewe imechokwa
Haya japokuwa hukusema ataumizwa lini... Nadhani ushaanza kupata majibu Diamond ni mtu wa aina gani jinsi gani amejipanga kwenye game
We jamaa cjui unaishi dunia ya wapi cjui!! Wenzako wooooooooooooooote waliokuwa wanatoa viroja kama vyako hivi sasa wamenyamaza! Zamani walikuwa wanasema Diamond anatumia nyota ya Wema lakini baada ya Wema kupigwa chini; hivi sasa Wema anapotea taratibu na hakuna popote anapoonekana zaidi ya kwenye majukwaa ya CCM!! Zari ameanza uhusiano na Diamond wakati akiwa na followers instagram kiasi cha elf 36; hivi sasa ana followers wanaokaribia laki 8.... bwah bwah bwah! View attachment 297712Bora nimpigie kura Dudubaya ama Shilole kuliko huyo mchumia tumbo anayeishi kwa kiki za wanawake mashuhuri.
Chakaza, I know you're kinda smart lakini hapa analysis yako ilisukumwa zaidi na wapiga kelele kuliko uhalisia!!Usichojua ni kwamba, hao mashabiki unaosema wewe kwamba wamempa negative response majority ni mashabiki wa Ali Kiba ambao waliji-impersonate kama mashabiki wa UKAWA. Hao tangu hapo hawakuwa na msaada wowote kwa Diamond na uwepo wao is just like "ay" in "Okay"-- iwepo ama isiwepo; OK will deliver the same meaning! Wapo mashabiki wa Diamond ambao ni kweli wameingiza siasa zao kwenye muziki lakini hawa ni wachache sana!!!Nimeamini elimu ni kitu muhimu sana. Wewe unanishambulia bila kujua msimamo wangu. Mada inasema Atakuwa msanii wa kwanza kuumizwa na siasa. Sio kuwa mie simuungi mkono. Kujadili jambo kunataka akili sana, maana lazima uelewe mada kisha umuelewe mtoa mada kasimamia wapi. Nakushauri nenda shule kwanza kisha njoo JF uchangie labda utakuwa umepata uelewa kidogo na sio mihemko.
Kwa namna fulani umeonyesha kunielewa ila hutaki kukubaliana na hoja. Kwa taarifa yako mie ni mshabiki mkubwa sana wa kijana. Na hata kama angepanda jukwaa la Ukawa na kuwanadi bado mada hii ingesimama. Nakuomba usome kwa makini Title na uchunguze nilichoandika. Utaona nimezungumzia yeye KUWA WA KWANZA KUAZIBIWA (hii mikiki mikiki ya nakupa sikupi) NA SIASA. Kwa maana hiyo yeye atakuwa wa kwanza tuu, na wapo wengine watafuata.Chakaza, I know you're kinda smart lakini hapa analysis yako ilisukumwa zaidi na wapiga kelele kuliko uhalisia!!Usichojua ni kwamba, hao mashabiki unaosema wewe kwamba wamempa negative response majority ni mashabiki wa Ali Kiba ambao waliji-impersonate kama mashabiki wa UKAWA. Hao tangu hapo hawakuwa na msaada wowote kwa Diamond na uwepo wao is just like "ay" in "Okay"-- iwepo ama isiwepo; OK will deliver the same meaning! Wapo mashabiki wa Diamond ambao ni kweli wameingiza siasa zao kwenye muziki lakini hawa ni wachache sana!!!
Lakini kubwa kuliko yote; hizi tabia za kujifanya miungu watu zinaboa kwa kweli... kwamba, eti so long as mtu anaenda kinyume na UKAWA; ndo basi tena huo unakuwa ndo mwisho wake!! Hivi hiki kibri kinatoka wapi?Kwamba wenye smart phone ni mashabiki wa UKAWA peke yake, au? Kwamba wanaojua Kiingereza kiasi cha kuweza kuelewa maelekezo ya kupiga kura ni wana-UKAWA peke yake, au?
Nikukumbushe tu kwamba, hizo ramli ambazo wewe umezipiga hivi sasa ingekuwa zina uwezo wa kufanya kazi, basi huyo Diamond leo asingekuwepo kwenye ramani!
Niemekuelewa sana na mimi na ndio maana nikakueleza kwamba MAJORITY ya wale unaowaona wanafyumu kwenye mitandao tangia hapo sio mashabiki wake bali ni mashabiki wa Kiba waliokuwa wame-take advantage ya Diamond kupanda jukwaani pale Jangwani na hivyo na wao kujifanya watu wa UKAWA!Kwa namna fulani umeonyesha kunielewa ila hutaki kukubaliana na hoja. Kwa taarifa yako mie ni mshabiki mkubwa sana wa kijana. Na hata kama angepanda jukwaa la Ukawa na kuwanadi bado mada hii ingesimama. Nakuomba usome kwa makini Title na uchunguze nilichoandika. Utaona nimezungumzia yeye KUWA WA KWANZA KUAZIBIWA (hii mikiki mikiki ya nakupa sikupi) NA SIASA. Kwa maana hiyo yeye atakuwa wa kwanza tuu, na wapo wengine watafuata.
Ule uzi wetu wa picha za Shardcole umeenda wapi? Yaani nilicheka sana!
Wameufuta hawa mods ... Sijui ni ndugu zake
Niemekuelewa sana na mimi na ndio maana nikakueleza kwamba MAJORITY ya wale unaowaona wanafyumu kwenye mitandao tangia hapo sio mashabiki wake bali ni mashabiki wa Kiba waliokuwa wame-take advantage ya Diamond kupanda jukwaani pale Jangwani na hivyo na wao kujifanya watu wa UKAWA!
Chakaza wewe sio mfuasi sana wa hili jamvi ukilinganisha na jamvi la siasa unless kama unatumia ID nyingine kuingia hili jukwaa! Binafsi, naingia majukwaa yote mawili kwa rate ile ile but usiulize mbona hujawahi nione... itoshe tu kushangaa niliposema "I know you're smart" wakati si ajabu ID yangu kwako ni ngeni! Wakati Diamond alivyopanda jukwaani pale Jangwanil hili jukwaa la celebrities lililkuwa halikaliki toka kwa watu waliokuwa wanajifanya wafuasi wa UKAWA lakini ajabu majority ya hao waliokuwa wanajifanya UKAWA damdam walikuwa wanampongeza Ali Kiba kwa kutopanda jukwaani! Sie wengine from the very same days tukasema suala la Kiba kutopanda jukwaani is just a matter of time... na kweli, it didn't last long Ali Kiba akapanda jukwaani Mtwara! Inaelekea walidhani anatania... haikupita muda, akapanda tena jukwaani Morogoro! Hoja ya Kiba kutopanda jukwaani ikafa na ikabaki Diamond ku-post picha za CCM instagram! Within few days, Kiba nae akaanza ku-post mapicha ya CCM kama hana akili mzuri!!! Kuanzia hapo, biashara ya Diamond na kampeni ikaisha za CCM ikafa kibudu coz' waliokua wanazileta kila leo hizo hoja ni mashabiki wa Ali Kiba lakini baada kuumbuliwa na huyo huyo "King" wakapiga kimya na matokeo yake hizo hoja zikawa zinajitokeza mara chache sana kutoka UKAWA wenyewe na sio wale waliokuwa impersonated!!!
Sisemi kwamba hao sio UKAWA per se bali ninachosema kitu ambacho walikuwa wanasukumwa sio issue ya UKAWA bali minyukano ya Team Kiba na Team Diamond na hivyo wakaamua tu kuitumia UKAWA! Na ndio maana nikasema hao watu hawana madhara coz' tangia hapo majority sio wapiga kura wala wafuasi wa Diamond!! Na hao watu hawajaanza leo wala jana kubashiri kuanguka kwa Diamond...!!!! Itoshe tu kusema wameanza kupiga ramli za kuporomoka kwa Diamond tangu Ali Kiba atoe Mwana Dar es salaam.... zaidi ya mwaka mmoja uliopita! Au labda ukitaka kunielewa, rejea matukio mawili ambayo Diamond na Ali Kiba wamepanda jukwaa moja--- kuanzia kwenye Fiesta hadi Tamasha la Tigo! Matamasha yote hayo Diamond alizomewa! Yaani maonesho yoooooooote, Diamond anaonekana safi lakini akipanda jukwaa moja na Kiba ndo aonekane hafai na anastahili kuzomewa!!! Na ndio hao hao leo hii wanaojifanya UKAWA--- inaelekea walikula yamini/kiapo kuhakikisha wanamuaharibia kila mahali! Lakini kwavile kiapo chenyewe ni cha kishetani, ndio maana mara zote ramli zao zimeshindwa!
We mtoto unavyoufanya mtima wangu uende ti ti ti, wallah hivi sasa itabidi niongeze spidi... tena naongeza spidi huku nikiombea uachike kweli kweli! Si hautanii, au?!Siku nikiachika ntakuja unioe,
Duh... huyo AlexPlatnumz nae hamnazo... yaani ID inaonesha kabisa yeye ni nani halafu anaenda kumwambia Kiba hampigii kura! Na hilo la mashabiki wa Diamond kwa Kiba, anyway, you're right... wengi wanaomchukia Kiba hiyo chuki imejengwa na mashabiki wa Kiba mwenyewe!sio kwa Analysis hii! Atakuwa amekuelewa Unless ni mgeni kwenye jukwaa hili. Au mgeni kwenye social medias! Kwa mfano ukitaka kujua hii issue ni ya mashabiki wa Diamond Vs Alikiba, chunguza kwenye instagram, kuna mtu labda anatumia jina la "AlexPlatinumz" halafu ana comment kwa Kiba eti utapigiwa na CCM wenzio kura mi sikupigii ng'o! Ukiangalia vizuri kinachomfanya huyu mtu aseme hivi Si "UUkawa" bali ni "Udiamond" mi nawaelewa mashabiki wa diamond wanaomsakama kiba sasa hivi ni ile issue ya KTMA hadi ikafika "Vote for Davido" (Ieleweke tu mashabiki wa diamond pengine sio wote wanamchukia Kiba bali wanalipiza kile walichowahi kufanyiwa)
Hii issue inaaply pande zote mbili though kwa upande wa mashabiki wa kiba chuki yao ni "komavu" while wale wa diamond "wanaiga/wanalipiza".
yani mnanipaje raha,ushabiki hadi akili ni zakijani,roma anaomba kura za tuzo gani? Fact ni kuwa shabiki wa diamond aliye chadema hawez vote kw diamond.
Thubutu.....!
wat the tact cutie
siasa zimeharibu timing xa wanamuziki bila kujua wanaingiza kidogo na kupoteza kikubwa Jst imagine Lowassa akishika nchi kw wanaomtukana hadharan na kufanya kampen against itakuaje??