Eti za kawaida sana....
Hata mwenyewe Diamond anafahamu hizo sio sehemu ya zile alizokusudia kuwa big hits kwake... zile ni matunda ya mtu ukiwa na studio! Unarekodi muda wowote ukijisikia na kuachia bila kuwa kwenye program au ratiba maalumu!!!
Look, Diamond nyimbo zake huwa anatanguliza videos... hivi hushangai zile kaanza na audio! Tena sio wasafi.com kwamba tungesema anataka kuuza lakini kaachia Youtube!!!
Sio hivyo tu, Diamond ni bingwa wa promo!!! Umeshaona anazifanyia promo yoyote zile ngoma?! Hata huko Instagram hajazi-post!!! Ni kawaida ya Diamond hiyo?!
Lakini ilivyo ni kwamba, ngoma is about taste. Msanii anaweza asiwe serious na track husika lakini watu wakaipenda... haidhuru hata kama wewe huzipendi!!!