Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe kukopi ni tatizo! Una muda gani kwenye ulimwengu wa muziki wewe?Aliniboa alivokopi fall ya davido akaitaveneka
Sana tuuSikomi nimeielewa
jux mpka huku..nilijua we mzee wa Insta tuNima
Yaani unaandika utadhani tulizisikiliza wote....[emoji47] [emoji47]nimepata nafasi ya kusikiliza nyimbo mbili za diamond ni zakawaida sana sikutegemea baada ya kuona nyuzi nyingi hapa za kusifia ni vinyimbo fulani ni kama wasanii wachanga wale wanaokuja kwenye gemu