Hivi mnaonaje mkimuacha dogo aendelee kupiga pesa na kutoa ajira kwa "wasomi wa elimu ya juu"
Kwanini watu wengi wakumuangalia Mond,wanachokiona ni Swala la Dingi yake tu,kwani hakuna mengine ya kumuongelea,mbona wapo vijana wengi tu waliotelekezwa na wazazi wao,tusijifsnye Kama tunamjua sana Mond,kuliko yeye na mama yake wanavyojijua walipotoka na "huyo Baba Mond"ambaye watu wanamuonea huruma.
Kwanini hamuongei jinsi kijana kutoka uswazi tandale,ambavyo ameweza kuwa bilionea na kutoa ajira kibao,acheni maisha yake,kila binadamu ana siri zake,hakuna mkamirifu