Diamond kwa sasa hana Baba, ukweli mchungu

Mimi mwenyewe sijalelewa na baba na hivyo namwelewa sana na Diamond.

Ila sasa tofauti yangu inakuja hivi, kwanini humtunzi Mzee Abdul halafu unamtunza Uncle Shamte [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Heheheheeee
 
Kwani hiyo gongo ni bei gani?!
 

Alafu anakuambia Baba hakosei sijui Mama, upumbavu mtupu.
Mimi sasa hivi ni Baba, mbona nakosea mara nyingi tuu
 

Ni kweli kabisa
 
Hivi mnaonaje mkimuacha dogo aendelee kupiga pesa na kutoa ajira kwa "wasomi wa elimu ya juu"
Kwanini watu wengi wakumuangalia Mond,wanachokiona ni Swala la Dingi yake tu,kwani hakuna mengine ya kumuongelea,mbona wapo vijana wengi tu waliotelekezwa na wazazi wao,tusijifsnye Kama tunamjua sana Mond,kuliko yeye na mama yake wanavyojijua walipotoka na "huyo Baba Mond"ambaye watu wanamuonea huruma.
Kwanini hamuongei jinsi kijana kutoka uswazi tandale,ambavyo ameweza kuwa bilionea na kutoa ajira kibao,acheni maisha yake,kila binadamu ana siri zake,hakuna mkamirifu
 

Diamond katumika kama case study humu, hakuna anayemuandama, ungesoma uzi ukauelewa pengine usingeandika haya
 
Mkuu nikupongeze sana sana na hii inatupa picha kuwa pamoja na maisha kuwa magumu lakini watu wema wapo duniani.....Mungu akuzidishe na kukulinda mwaka huu wote na kila mtu asema Amina
 
Hii ingefaa kuwa uzi kamili, kuna kitu cha kujifunza, Asante kwa ku_share hii habari, kuna watu wanapitia njia ngumu mno hapa duniani na wanahitaji misaada kama hii.
 
Mkuu..Mungu ndie atakaekulipa.
 
Unaweza kuta kwa masharti ya sangoma , jinsi dingi anavyotaabika ndivyo jinsi mifuko ya mondi inajaa
 
Hakuna uchungu mbaya kama kunyanyaswa na mzazi wako wa damu, ni bora nakuambia ni bora uwe kifungoni na kufanyishwa kazi ngumu uchungu wake una nafuu. Mondi anakwepa kujisikia uchungu pindi atakapo kua karibu na mdingi, huo ndio ukweli...!!!

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
 
Mimi mwenyewe sijalelewa na baba na hivyo namwelewa sana na Diamond.

Ila sasa tofauti yangu inakuja hivi, kwanini humtunzi Mzee Abdul halafu unamtunza Uncle Shamte [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uncle shamte anayaweza yote zaidi ya kijibwa kwa mama dangote.
 
Diamond anaonekana anakidonda kikubwa moyoni mwake ila hajawai sema wazi kua hatamjali baba yake media zikimhoji hua anajizuia sana kuhusu baba yake yeye anaishia kusema tu hana tatizo lolote na baba yake.ila moyon mwake ninauhakika ana kinyongo kikubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…