Diamond kwa sasa hana Baba, ukweli mchungu

Hilo ni somo tosha kwa wale wasioelewa, kuwa kumtelekeza mtoto Kuna madhara yake baadae, usije kutafuta lawama au mchawi,
Ukiangalia Kwa makini huyu Mzee Abdul wala hampendi Diamond. Kwanza alimtelekeza akiwa anamuhitaji Sana Pili baada ya kupata anamnyima Raha mfano ni Interview ya juzi anaongea maneno ya Laana. Hivi unazaa mtoto anahangaika kama ndege akipata unaanza kuchekacheka Mimi ndie Baba yake Nasibu?.
 
Mijadala yote hii Harmonize ndio amesababisha
 
Pole sana. Kuna binti naye mpaka chuo ameshamaliza siku akafunga safari ya kwenda kumuona baba yake kwa mara ya kwanza. Alipofanikiwa kufika mzee akamwambia...haya umeshaniona...halafu? Sasa geuka uende na huo mlango iwe mara ya mwisho kupita.
 
Hivi inakuwaje? Dah!!
 
Mimi mwenyewe sijalelewa na baba na hivyo namwelewa sana na Diamond.

Ila sasa tofauti yangu inakuja hivi, kwanini humtunzi Mzee Abdul halafu unamtunza Uncle Shamte [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeuliza swali 'konki'
 
Nina mani yafuatayo juu ya makala yako:
1.Fanya proof reading kabla hujaposti makala zako
2.Unashida ya kisaikolojia,tafuta mtaalamu akutibu

Mkuu wewe kama hujui kuna wababa wanatelekeza watoto utakuwa umezaliwa jana.
Makala hii inahusu wababa wote wahuni na wapumbavu wanaotelekeza watoto wao mimi nikiwepo.

Nenda wewe kwa huyo mwanasaikolojia ndio akutibu
 
Spirit of rejection toka ukiwa conceived ni spirit mbaya sana na wahusika wasipoangalia utaona na wao watazaa watelekeze. Yaani watarudia kosa lile lile.

Mtoto wa Nyoka ni nyoka,
Huwezi telekeza mtoto alafu utegemee utazaa mtoto ambaye hatakutelekeza labda uwe mwehu Mkuu.
 
NImesoma hapo mwanzo tu nilivyoona sijui lugha ngumu nikaacha. Waliosoma watoe summary au abstract
 
Pole sana. Kuna binti naye mpaka chuo ameshamaliza siku akafunga safari ya kwenda kumuona baba yake kwa mara ya kwanza. Alipofanikiwa kufika mzee akamwambia...haya umeshaniona...halafu? Sasa geuka uende na huo mlango iwe mara ya mwisho kupita.
Diamond anachotakiwa ni kuhemshimu Baba yake Tu asije akamvunjia heshima Kwa namna yoyote. Na biblia yetu inasema Mzee Abdul alipaswa kumtunza Diamond na sio Diamond kumtunza. Haya Mambo ya dini ndio yanayofanya wanaume watelekeze watoto maana wanajua huko mbeleni kijana/ binti atarudi Tu baada ya kupiga mistari miwili mitatu ya maandiko.
 
Ntarudi baadae kuja kusoma
 
Bond hutengenezwa.anaweza akawa amemsamehe kabisa ila maumivu aliyopitia kwa baba ake yakawa yameua kabisa mahusiano ya baba na mtoto na dogo ha feel chotechote towards baba ake.Diamond aachwe tu,furahia muziki wake.mahusiano yake na ndugu zake hayatuhusu
 
Kumtema baba yake mzazi
Halafu anakalea kajamaa umri wake kanampumulia mama yake!

Which is which?
 
Wakati mama Diamond yupo dirishani anawasikiliza Diamond na Queen Darleen wewe ulikuwa umejibanza sehemu gani? Hebu acheni umbea [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Safi sana.. natamani mungu azidi kukupa zaidi na zaidi..
 
Wakati mama Diamond yupo dirishani anawasikiliza Diamond na Queen Darleen wewe ulikuwa umejibanza sehemu gani? Hebu acheni umbea [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Endelea hivyo hivyo ... Hao wakina queen darlin wakati wewe unawashangaa Instagram sisi tujakesha nao hapo kwao sinza tunapiga story.
 
Endelea hivyo hivyo ... Hao wakina queen darlin wakati wewe unawashangaa Instagram sisi tujakesha nao hapo kwao sinza tunapiga story.

Hivi Mzee Abdul alimuoa mama yake Nasibu ndiyo akazaliwa huyo dogo Diamond?

Kwa Waislam mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa huyo ni mtoto wa Mama atatumia ubin wa mama,na akiwa wa kike ataozeshwa kwa idhini ya mama yake.

Halafu sperm donor waache kutetea ujinga yaani unakimbia majukumu halafu unataka kuvuna kwenye mmea uliyoutelekeza kwenye magugu.
 
Baba yake kumtunza ana mtunza (ushahidi huu hapa ,ila mzee kwanza ana watoto wadogo kama watatu aliowapata kwa mwanamke aliye mpata baada ya kuachana na mama yake Diamond.

Mzee mwenyewe kazi hana,alafu anaoneka ni type zile za masharobaro wa zamani wasiotaka kufanya kazi na ndio maana kila siku kulialia,sasa na uzee ushakaribia,plus na wale watoto wa uzeeni plus yeye mwenyewe hajishughulishi hapo lazima kila siku mumlaumu Diamond.
 
Anakalea coz ndio kanachompa furaha mama ake..shida iko wapi?
Hakuna shida ila si ni kweli
Hebu tufanye kwako

Nikimtongoza mamako utakubali ikiwa umri tunalingana na wewe?

Najua huwezi kubali basi ndivyo ilivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…