Diamond kwepa hili mapema la udini. Fata ushauri wa Vanny Boy

Diamond kwepa hili mapema la udini. Fata ushauri wa Vanny Boy

Ukitaka kutoa aibu ya mwenzio anza na ya kwako

ᴮʸ cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᵈ
Aibu ya kutokufunga ndoa? Aseme anakwa wapi asaidiwe.
Mashehe sijui wanamwogopa?
 
Acheni hizo ukijenga kanisa ni lako hilo la sivyo watakaopewa litakua na migogoro ya kila aina abaki huko huko kwenye dini yake. Mshaurini vingine na sio makanisa
 
Kukosa akili ni kitu kibaya sana. Bora ukose mali upate akili . Wewe huna akili. Pole sana
Jamaa unambwela sana,tujengewe kanisa na mfuasi wa allah unataka majini yaanze kujificha makanisani,na si kama ilivyozooleka yanakaa misikitini,ajenge hata viwanda na hospitali za waislamu tupu maana hawa jamaa akili zao wanazijua wenyewe wanaendekeza sana ubaguzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ajenge tu hiyo misikiti maana sisi hatuna utaratibu wa kutoa sadaka msikitini huwa tunatoa chenchi iliyobaki kwenye mboga, makanisa watajenga wakiristo maana wao hutoa sadaka kubwa zinatosha sana, halafu siku hizi uislamu umerahisihwa eee?! maana nilimuona na mpenzi wa mondi Tanasha mkristu akiingia msikitini, wanazini tu na shihe anajua lakini kabariki yote, Kweli pesa BABA LAO.
 
Huyo Diamond anauwezo wa kujenga kanisa?labda Jengo la Sunday School...

Pia sidhani kama ni sahihi kwa Diamond kuukabidhi huo msikiti wakati usiku wa kuamkia hiyo siku alikuwa kwenye mibalaaa ya kibao kata na bunyero bunyero. Clear lack of respect na njaa ya hap waislamu walioupokea
Ha ha ha mkuu hamna aliyemwema kwa asilimia100,
Hukumuona Pope Jana alivyompiga yule mama aliekua akiung'ang'ania mkono wake...ulimuona Pope alivyonuna Kama bouncer fulani
 
Back
Top Bottom