Diamond kwepa hili mapema la udini. Fata ushauri wa Vanny Boy

Ukitaka kutoa aibu ya mwenzio anza na ya kwako

ᴮʸ cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᵈ
Aibu ya kutokufunga ndoa? Aseme anakwa wapi asaidiwe.
Mashehe sijui wanamwogopa?
 
Acheni hizo ukijenga kanisa ni lako hilo la sivyo watakaopewa litakua na migogoro ya kila aina abaki huko huko kwenye dini yake. Mshaurini vingine na sio makanisa
 
Kukosa akili ni kitu kibaya sana. Bora ukose mali upate akili . Wewe huna akili. Pole sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini usimshauri ajenge Shule Au hata maabara ikibidi?! Kwani kuna uhaba wa misikiti na makanisa?!
 
Acha ajenge tu hiyo misikiti maana sisi hatuna utaratibu wa kutoa sadaka msikitini huwa tunatoa chenchi iliyobaki kwenye mboga, makanisa watajenga wakiristo maana wao hutoa sadaka kubwa zinatosha sana, halafu siku hizi uislamu umerahisihwa eee?! maana nilimuona na mpenzi wa mondi Tanasha mkristu akiingia msikitini, wanazini tu na shihe anajua lakini kabariki yote, Kweli pesa BABA LAO.
 
Ha ha ha mkuu hamna aliyemwema kwa asilimia100,
Hukumuona Pope Jana alivyompiga yule mama aliekua akiung'ang'ania mkono wake...ulimuona Pope alivyonuna Kama bouncer fulani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…